Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Acha Uongo bhana
 
Punguani na hater huyo achana nae.

Daraja zuri lakini angalia background hapo hizo nyumba za tope kila mahali, na hapo ndio maeneo yenu ya kula bata, kutwa nzima kukesha kwenye makanisa na mambo ya kishirikina na kupiga umbeya kama jina la mkoa wenu.
 

1 Dar
2 Mwz
3 Mbeya
 
Ni vizuri kwa CBD kutokuwa sehemu moja. Miji mingi ukitaka kwenda mjini labda benki lazima wote muende sehemu moja. Mbeya tofauti. Ukifika Uyole unapata kila kitu, benki maduka nk. Ukienda Kabwe hivyohivyo, ukienda mjini hivyohivyo, ukienda Mbalizi hivyohivyo. Hakuna ushamba wa eti naenda mjini.
 
L

Lete list ya international school mbeya mkoa tuone acha porojo
Na kukutoa ushamba. Shule za intrrnational wanasoma hasa watoto wa wageni, kama wafanyakazi wa ubalozini, makampuni ya nje nk. Na wanatumia mtaala wa kimataifa. Kama watu hao hawapo kwenye mji, shule ya kimataifa ya nini?
 
Kwani unadhani uongo?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbeya tuko juu mawinguni.[emoji91]

Kitu kimoja kinachoiangusha Mbeya ni mpangilio wa majengo
Mipango miji sijui walikuwa wamelala,, nyumba zimejengwa hovyohovyo, kila mtu anajenga anavyojua bila hata kujali kuacha barabara.

Dodoma Kwa sasa wameipita Mbeya parefu sana kwenye kupangilia mji wao.


Vitu vingine vyote kuhusu Mbeya ni kweli.

Ukipita Mbeya-Kyela utaona maana halisi ya green city.

Mji wake hauonekani exactly Kwa sababu umefunikwa ma milima na miti.. ila ile milima ndio uzuri wenyewe.
 
Miji yote duniani ina CBD, mbeya huwez jua CBD ipo wapi? Mbona miji kama Mwanza na dar, ina cbd lakini kuna miji mingine mikubwa ndani ya jiji inayojitegemea kwa kila kitu.
 
Miji yote duniani ina CBD, mbeya huwez jua CBD ipo wapi? Mbona miji kama Mwanza na dar, ina cbd lakini kuna miji mingine mikubwa ndani ya jiji inayojitegemea kwa kila kitu.
Labda utoe Dar, miji karibu yote, maghorofa, biashara kubwa zimerundikana sehemu moja. Mfano jiji la Mwanza, ukitoka mjini kati, nje huwezi kutana na mji kama Mbalizi au Uyole. Miji iliyokamilika. Arusha, Moro mambo karibu yote ni hapo mjini. Hakuna mji wa nje ya CBD unaojielewa.
 
Buzuruga, nyegezi, buhongwa na igoma hizo miji hazina huduma gani na zinawatu zaidi ya 60, 000 kila eneo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…