Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Naona unataka kulinganisha second city na Jiji la nipen kura nitangaze mbeya Kuwa Jiji
Hakuna anayelinganisha, ila inashangaza watu wanaoishi kwenye favela kule kwenye mawe, wakijisaidia nyuma ya mawe kuponda Mbeya.
 
Naongea kwa facts wewe ndiye umejaa chuki na unaionyesha waziwazi. Miji niliyokutajia, Mbalizi na Uyole inajitosheleza kwa kila kitu, ina hadi machinjio zake. Wewe hizo Igoma, Buhongwa, Buzuruga na Nyegezi ni miji inayojitegemea? Ina kitu kama machinjio? Nazungumzia miji wewe unaleta mifano ya stendi!!
Unataka kila kata hiwe na machinjioni mbona una akili za mgando, hata dar ina machinjion moja kubwa ya vingunguti, hizo sehemu za kuchinjia nguruwe kila mtaa ndio unaita machinjio, shame on you, shit.
 
Huwezi kuwa na mji watu wanapiga safari ndefu kwa vihiace na ukawa mji wa maana. Bora kupanda Bajaji kuliko hivyo vidude.
Ukiona usafiri wa bajaji ujue ni mji mdogo sana sababu hezi sema utoke kisesa to natta Kwa bajaji nazani utalipa 20,000 wakati gari ni 700,

Pia bro mwanza Kuna coaster,hiace na bus lakin znapiga route za ndani ya Jiji mfano mabus yanatoka nyashishi to igombe pia coaster znapiga route za km ndefu hapa jijini ila hiace ni route za mitaa ya karibu
 
Unataka kila kata hiwe na machinjioni mbona una akili za mgando, hata dar ina machinjion moja kubwa ya vingunguti, hizo sehemu za kuchinjia nguruwe kila mtaa ndio unaita machinjio, shame on you, shit.
Ndiyo ujue kuwa hiyo ni miji kamili inajitegemea. Mbeya haijajengwa sehemu moja hivyo ukitoka kwenye miji ya hivyo huwezi kuielewa.
 
Mbeya Haina route na ndo maana mnatmia bajaji Kwa maana ya usafiri kuingia vichochoro Barabara hamna za hiace hivo gari hushusha Barabara kuu TU halafu unaruka mitaro kuingia kwako
Ukiwa mbeya, sheria ya kwanza usibrush viati, ukibrush ni sawa na kzi bure, ni bora uvae viatu vyenye rangi ya matope au rangi ya vumbi.
 
Na vipi kuhusu upatikanaji wa ardhi ya kununua, ekari moja naweza kupata kuanzia sh. ngapi?
 
Route ndefu zote za mwanza kuna usafiri wa coasters, yaan mabus mazuri luxury kama upo Berlin.
Vihiace vinafanya nini mjini? Bora bajaji unaweza kushuka bila shombo ya samaki. Mji ambao watu wanakunya nyuma ya mawe kule milimani hauwezi kuwa mji wa maana?
 
Vihiace vinafanya nini mjini? Bora bajaji unaweza kushuka bila shombo ya samaki. Mji ambao watu wanakunya nyuma ya mawe kule milimani hauwezi kuwa mji wa maana?
Huwez ruhusu bajaji ndani ya Jiji labda Kijiji kikubwa kama mbeya bajaji sawa
 
Hakuna anayelinganisha, ila inashangaza watu wanaoishi kwenye favela kule kwenye mawe, wakijisaidia nyuma ya mawe kuponda Mbeya.
Taja jiji lenye sewage system hapa EA yenye kuzidi jiji la Mwanza, huko milimani kuna huduma zote muhimu ambao ukiwa kabwe au uhindini huwezi kupata.
 
Hapa ni Mbeya kweli?
JamiiForums-2002114133.jpg
 
Ukiwa mbeya, sheria ya kwanza usibrush viati, ukibrush ni sawa na kzi bure, ni bora uvae viatu vyenye rangi ya matope au rangi ya vumbi.
Ila mahali kama hapa, tena mnauza chakula unabrush!! Umewahi ona soko linatia kichefuchefu namna hii huko Mbeya?

maxresdefault.jpg
 
Ndiyo ujue kuwa hiyo ni miji kamili inajitegemea. Mbeya haijajengwa sehemu moja hivyo ukitoka kwenye miji ya hivyo huwezi kuielewa.
Sehemu za kuchinja nguruwe na kuku au bata nazo unaziita machinjio, machinjio ya kisasa inatakiwa ziwe na facilities za uhakika na machine za kisasa, na miundombinu bora....
Naomba picha za machinjio ya mbeya.
 
Bora bajaji kuliko vihiace mjini. Ukitoka kwenye hiace lazima ukaoge.
Ndani ya Jiji la mwanza hatna vumbi pia kubanana ni Kwa sababu Jiji kubwa Lina watu wengi ukitoa dar Sasa mbeya idadi inazidiwa na Geita utanambia Nini si Bora mtumie bajaji
 
Back
Top Bottom