Hata kama huwapendi wana Mbeya, hii imezidi. wana ushirikina gani ambao mkoa mwingine hauna? Umekutana na ibao vingapi vya matangazo ya waganga ukifananisha na Dar?Wamekalia ushirikina na kushinda kwenye makanisa watakumbuka mambo ya mipango miji.
Hapo unaongea kwa chuki, nilizani una facts kumbe una urojo tu kichwani, hilo fuvu lako ni bora likawa linatunzia ugali kuliko ubongo wenye ukakasi kama wako.Igoma ambako kuna usafiri wa Baiskeli kupeleka watu vichochoroni? Hamnq mji hapo.
Sina chuki na ilo shamba lenu la viazi lakini huwa naongea ukweli tu, uongo kwangu mwiko.Hata kama huwapendi wana Mbeya, hii imezidi. wana ushirikina gani ambao mkoa mwingine hauna? Umekutana na ibao vingapi vya matangazo ya waganga ukifananisha na Dar?
Njombe na Mbeya bora Njombe ..njombe imepangika...Wapi Tayari?
Umefanya ulinganifu na mkoa gani? Ndio hoja yanguSina chuki na ilo shamba lenu la viazi lakini huwa naongea ukweli tu, uongo kwangu mwiko.
Ukilinganisha na LindiUmefanya ulinganifu na mkoa gani? Ndio hoja yangu
Naongea kwa facts wewe ndiye umejaa chuki na unaionyesha waziwazi. Miji niliyokutajia, Mbalizi na Uyole inajitosheleza kwa kila kitu, ina hadi machinjio zake. Wewe hizo Igoma, Buhongwa, Buzuruga na Nyegezi ni miji inayojitegemea? Ina kitu kama machinjio? Nazungumzia miji wewe unaleta mifano ya stendi!!Hapo unaongea kwa chuki, nilizani una facts kumbe una urojo tu kichwani, hilo fuvu lako ni bora likawa linatunzia ugali kuliko ubongo wenye ukakasi kama wako.
Nakupa mbili mwanza international school na isamilo international school haya Lete za mbeyaLeta za mkoani kwako tukuletee za mbeya
Kufika na kusema Hilo najua ila ewe ndo ujiulize Kwann mbeya hamna?Na kukutoa ushamba. Shule za intrrnational wanasoma hasa watoto wa wageni, kama wafanyakazi wa ubalozini, makampuni ya nje nk. Na wanatumia mtaala wa kimataifa. Kama watu hao hawapo kwenye mji, shule ya kimataifa ya nini?
Lete PICHA kama Kuna baiskeli pia ujue at bajaji mwanza sio nyingi na sio usafiri official Kwa abiria kama ilivo mbeyaIgoma ambako kuna usafiri wa Baiskeli kupeleka watu vichochoroni? Hamnq mji hapo.
Kuna mji unausafiri mzuri kama Mbeya. Mwanza bado mnapanda vihiace mmejikunja wakati Mbeya vilipigwa marufuku kitambo sana.Lete PICHA kama Kuna baiskeli pia ujue at bajaji mwanza sio nyingi na sio usafiri official Kwa abiria kama ilivo mbeya
Hamna mahitaji. Huweza jenga kitu kama huna mahitaji nacho, ni ushamba.Kufika na kusema Hilo najua ila ewe ndo ujiulize Kwann mbeya hamna?
Mbeya Haina route na ndo maana mnatmia bajaji Kwa maana ya usafiri kuingia vichochoro Barabara hamna za hiace hivo gari hushusha Barabara kuu TU halafu unaruka mitaro kuingia kwakoKuna mji unausafiri mzuri kama Mbeya. Mwanza bado mnapanda vihiace mmejikunja wakati Mbeya vilipigwa marufuku kitambo sana.
Mwanza zipo,dar zipo na Arusha zipo tena adi kahama Kuna international school ila mbeya huko mashambani shule za kimataifa sio mahala pakeHamna mahitaji. Huweza jenga kitu kama huna mahitaji nacho, ni ushamba.
Naona unataka kulinganisha second city na Jiji la nipen kura nitangaze mbeya Kuwa JijiKuna mji unausafiri mzuri kama Mbeya. Mwanza bado mnapanda vihiace mmejikunja wakati Mbeya vilipigwa marufuku kitambo sana.
Dar na Arusha kunauhitaji, Arusha makao makuu ya EAC hata Kahama kuna watu wa Migodi kutoka nje, huwezi jenga kitu huhitaji.Mwanza zipo,dar zipo na Arusha zipo tena adi kahama Kuna international school ila mbeya huko mashambani shule za kimataifa sio mahala pake
Huwezi kuwa na mji watu wanapiga safari ndefu kwa vihiace na ukawa mji wa maana. Bora kupanda Bajaji kuliko hivyo vidude.Mbeya Haina route na ndo maana mnatmia bajaji Kwa maana ya usafiri kuingia vichochoro Barabara hamna za hiace hivo gari hushusha Barabara kuu TU halafu unaruka mitaro kuingia kwako
Kwahyo mbeya hamna uhitaji walime tyu maparachichi na mpunga au sioDar na Arusha kunauhitaji, Arusha makao makuu ya EAC hata Kahama kuna watu wa Migodi kutoka nje, huwezi jenga kitu huhitaji.