Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Hakuna anayelinganisha, ila inashangaza watu wanaoishi kwenye favela kule kwenye mawe, wakijisaidia nyuma ya mawe kuponda Mbeya.Naona unataka kulinganisha second city na Jiji la nipen kura nitangaze mbeya Kuwa Jiji
Unataka kila kata hiwe na machinjioni mbona una akili za mgando, hata dar ina machinjion moja kubwa ya vingunguti, hizo sehemu za kuchinjia nguruwe kila mtaa ndio unaita machinjio, shame on you, shit.Naongea kwa facts wewe ndiye umejaa chuki na unaionyesha waziwazi. Miji niliyokutajia, Mbalizi na Uyole inajitosheleza kwa kila kitu, ina hadi machinjio zake. Wewe hizo Igoma, Buhongwa, Buzuruga na Nyegezi ni miji inayojitegemea? Ina kitu kama machinjio? Nazungumzia miji wewe unaleta mifano ya stendi!!
Ndiyo, na wamejenga shule wanazohitaji kama Saint Francis. Na vyuo wanavyohitaji.Kwahyo mbeya hamna uhitaji walime tyu maparachichi na mpunga au sio
Route ndefu zote za mwanza kuna usafiri wa coasters, yaan mabus mazuri luxury kama upo Berlin.Kuna mji unausafiri mzuri kama Mbeya. Mwanza bado mnapanda vihiace mmejikunja wakati Mbeya vilipigwa marufuku kitambo sana.
Ukiona usafiri wa bajaji ujue ni mji mdogo sana sababu hezi sema utoke kisesa to natta Kwa bajaji nazani utalipa 20,000 wakati gari ni 700,Huwezi kuwa na mji watu wanapiga safari ndefu kwa vihiace na ukawa mji wa maana. Bora kupanda Bajaji kuliko hivyo vidude.
Ndiyo ujue kuwa hiyo ni miji kamili inajitegemea. Mbeya haijajengwa sehemu moja hivyo ukitoka kwenye miji ya hivyo huwezi kuielewa.Unataka kila kata hiwe na machinjioni mbona una akili za mgando, hata dar ina machinjion moja kubwa ya vingunguti, hizo sehemu za kuchinjia nguruwe kila mtaa ndio unaita machinjio, shame on you, shit.
Ukiwa mbeya, sheria ya kwanza usibrush viati, ukibrush ni sawa na kzi bure, ni bora uvae viatu vyenye rangi ya matope au rangi ya vumbi.Mbeya Haina route na ndo maana mnatmia bajaji Kwa maana ya usafiri kuingia vichochoro Barabara hamna za hiace hivo gari hushusha Barabara kuu TU halafu unaruka mitaro kuingia kwako
Jifunze kiswahili sio umbu bali ni mbu.Pvc Aluminium
Madirisha balcony milango partition
Tuone kupitia namba hii 0735432020
Pia Tunabadilisha wavu wa umbu zilizo chanika kutoboka View attachment 2570135
Vihiace vinafanya nini mjini? Bora bajaji unaweza kushuka bila shombo ya samaki. Mji ambao watu wanakunya nyuma ya mawe kule milimani hauwezi kuwa mji wa maana?Route ndefu zote za mwanza kuna usafiri wa coasters, yaan mabus mazuri luxury kama upo Berlin.
Huwez ruhusu bajaji ndani ya Jiji labda Kijiji kikubwa kama mbeya bajaji sawaVihiace vinafanya nini mjini? Bora bajaji unaweza kushuka bila shombo ya samaki. Mji ambao watu wanakunya nyuma ya mawe kule milimani hauwezi kuwa mji wa maana?
Taja jiji lenye sewage system hapa EA yenye kuzidi jiji la Mwanza, huko milimani kuna huduma zote muhimu ambao ukiwa kabwe au uhindini huwezi kupata.Hakuna anayelinganisha, ila inashangaza watu wanaoishi kwenye favela kule kwenye mawe, wakijisaidia nyuma ya mawe kuponda Mbeya.
Wamejenga au wamejengewa na serikali.Ndiyo, na wamejenga shule wanazohitaji kama Saint Francis. Na vyuo wanavyohitaji.
Unajitoa ufahamu au ufupi unachangia eehVihiace vinafanya nini mjini? Bora bajaji unaweza kushuka bila shombo ya samaki. Mji ambao watu wanakunya nyuma ya mawe kule milimani hauwezi kuwa mji wa maana?
Ila mahali kama hapa, tena mnauza chakula unabrush!! Umewahi ona soko linatia kichefuchefu namna hii huko Mbeya?Ukiwa mbeya, sheria ya kwanza usibrush viati, ukibrush ni sawa na kzi bure, ni bora uvae viatu vyenye rangi ya matope au rangi ya vumbi.
Bora bajaji kuliko vihiace mjini. Ukitoka kwenye hiace lazima ukaoge.Huwez ruhusu bajaji ndani ya Jiji labda Kijiji kikubwa kama mbeya bajaji sawa
Sehemu za kuchinja nguruwe na kuku au bata nazo unaziita machinjio, machinjio ya kisasa inatakiwa ziwe na facilities za uhakika na machine za kisasa, na miundombinu bora....Ndiyo ujue kuwa hiyo ni miji kamili inajitegemea. Mbeya haijajengwa sehemu moja hivyo ukitoka kwenye miji ya hivyo huwezi kuielewa.
Ndani ya Jiji la mwanza hatna vumbi pia kubanana ni Kwa sababu Jiji kubwa Lina watu wengi ukitoa dar Sasa mbeya idadi inazidiwa na Geita utanambia Nini si Bora mtumie bajajiBora bajaji kuliko vihiace mjini. Ukitoka kwenye hiace lazima ukaoge.