Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Vihiace vinafanya nini mjini? Bora bajaji unaweza kushuka bila shombo ya samaki. Mji ambao watu wanakunya nyuma ya mawe kule milimani hauwezi kuwa mji wa maana?
Masikini kama wewe huna huwezo wa kujenga juu ya mawe kaa pembeni, jiji la mwanza sio la walugaluga kutoka uyole.
 
Geita Ina machinjio ya kisasa kabisa kuliko mbeya leteni picha ya machinjio
 
Mikoani ni mikoani tu. Wanyakyusa na Wanyiha wenye hela wanajazana Dar .

Mbeya huko mkoani ni kwa ajili ya wakulima wa viazi na maskini
 
Mbeya itakuwa ya tatu baada ya Simiyu na Kigoma.
 
Ndani ya Jiji la mwanza hatna vumbi pia kubanana ni Kwa sababu Jiji kubwa Lina watu wengi ukitoa dar Sasa mbeya idadi inazidiwa na Geita utanambia Nini si Bora mtumie bajaji
Hakuna anayefananisha miji we kichwa maji. Sema tunashangaa mnaojisaidia nyuma ya mawe kupacheka Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…