Hiyo harufu ipo hapo mtaa wa mswahili kuna wanyakyusa kutoka mbeya ndio wanafanya hiyo biashara ya dagaa na kuchafua hilo eneo kwa harufu, lakini tunashukuru kwasasa harufu imepungua kabisa.Kungekuwa hakunuki vile
Sehemeu za kuchinja kuku na bata zinaitwaje? Nipe picha ya machinjio unaita za kisasa TzSehemu za kuchinja nguruwe na kuku au bata nazo unaziita machinjio, machinjio ya kisasa inatakiwa ziwe na facilities za uhakika na machine za kisasa, na miundombinu bora....
Naomba picha za machinjio ya mbeya.
Naona unataka kuzamia mtumbwi wa vibwengo😝😝😝Kumbe unafananisha jiji la walugaluga mwanza washamba na mbeya
Huwezi kusema una jiji kwa mazingira kama haya. Mbeya nzima huwezi kuta watu wanauza chakula kwenye mazingira kama haya.Hiyo hatufu ipo hapo mtaa wa mswahili kuna wanyakyusa kutoka mbeya ndio wanafanya hiyo biashara ya dagaa na kuchafua hilo eneo kwa harufu, lakini tunashukuru kwasasa harufu imepungua kabisa.
Acha uongo basi vihiace mbeya vipo...tena vina mstari mwekundu kama ile route ya soko kuu mbalizi nk...Kuna mji unausafiri mzuri kama Mbeya. Mwanza bado mnapanda vihiace mmejikunja wakati Mbeya vilipigwa marufuku kitambo sana.
Hater mbona unahangaika sana ? Nini tatizo?Mbeya itakuwa ya tatu baada ya Simiyu na Kigoma.
We umeviona liniAcha uongo basi vihiace mbeya vipo...tena vina mstari mwekundu kama ile route ya soko kuu mbalizi nk...
Mwanza ndo vimeanza kupotea huko...siku hiz kuna costa kibao
Huko Mwanza unaweza Dhani ni nguruwe wanaishi kumbe binadamu maskini na njaa JuuHuwezi kusema una jiji kwa mazingira kama haya. Mbeya nzima huwezi kuta watu wanauza chakula kwenye mazingira kama haya.
Stori za kuambiwa changanya na zakoMikoani ni mikoani tu. Wanyakyusa na Wanyiha wenye hela wanajazana Dar .
Mbeya huko mkoani ni kwa ajili ya wakulima wa viazi na maskini
Kila sehemu unayochinjia kuku tunaita machinjio ata kama ni nyumbani?Sehemeu za kuchinja kuku na bata zinaitwaje? Nipe picha ya machinjio unaita za kisasa Tz
Hao wanaletaHuko Mwanza unaweza Dhani ni nguruwe wanaishi kumbe binadamu maskini na njaa Juu View attachment 2570174
Hiyo picha si ya mwanza na wala machinjioni hapako hivyo, hizo picha zinaokotezwa huko mbeya au western Africa.Huwezi kusema una jiji kwa mazingira kama haya. Mbeya nzima huwezi kuta watu wanauza chakula kwenye mazingira kama haya.
Mi home Mbeya ila kwa Dar wilaya zooote ni Nzuri zaidi ya Mbeya
Ulienda lini mbeya mara ya mwishoAcha uongo basi vihiace mbeya vipo...tena vina mstari mwekundu kama ile route ya soko kuu mbalizi nk...
Mwanza ndo vimeanza kupotea huko...siku hiz kuna costa kibao
Sahihi kabisaa ila sisi watu watu wa Mwanza na Arusha tulishaanza kupapenda kwetu toka henzi za mjerumani.Bora watu wa mikoani muanze kupapenda kwenu, tuliwachoka hapa darisalama ,kaeni huko huko
Burundi hamna mandhari ya hivo, napafahamu.Ni burundi