Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Sehemu za kuchinja nguruwe na kuku au bata nazo unaziita machinjio, machinjio ya kisasa inatakiwa ziwe na facilities za uhakika na machine za kisasa, na miundombinu bora....
Naomba picha za machinjio ya mbeya.
Sehemeu za kuchinja kuku na bata zinaitwaje? Nipe picha ya machinjio unaita za kisasa Tz
 
Hiyo hatufu ipo hapo mtaa wa mswahili kuna wanyakyusa kutoka mbeya ndio wanafanya hiyo biashara ya dagaa na kuchafua hilo eneo kwa harufu, lakini tunashukuru kwasasa harufu imepungua kabisa.
Huwezi kusema una jiji kwa mazingira kama haya. Mbeya nzima huwezi kuta watu wanauza chakula kwenye mazingira kama haya.
179508329_4169250099805619_1945678962574110466_n.jpg
 
Kuna mji unausafiri mzuri kama Mbeya. Mwanza bado mnapanda vihiace mmejikunja wakati Mbeya vilipigwa marufuku kitambo sana.
Acha uongo basi vihiace mbeya vipo...tena vina mstari mwekundu kama ile route ya soko kuu mbalizi nk...

Mwanza ndo vimeanza kupotea huko...siku hiz kuna costa kibao
 
Acha uongo basi vihiace mbeya vipo...tena vina mstari mwekundu kama ile route ya soko kuu mbalizi nk...

Mwanza ndo vimeanza kupotea huko...siku hiz kuna costa kibao
Ulienda lini mbeya mara ya mwisho
 
Bora watu wa mikoani muanze kupapenda kwenu, tuliwachoka hapa darisalama ,kaeni huko huko
 
Bora watu wa mikoani muanze kupapenda kwenu, tuliwachoka hapa darisalama ,kaeni huko huko
 
Back
Top Bottom