Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Sasa kupinda Kwa Barabara Kuna shida gani? Uswazi wa Mbeya haiwezi zidi Mwanza..

Uyole
 
Tena kama Kwa mama John Bora wavunje TU njia nne ipite ukweli hii ni tz na mikoa ni yetu mbeya katika ujenzi njia nne wapanue haswa wapitie vile vijumba mbele ya mama John hapo fumua haswa inyooke
 
Acha chuki wapi pamejengwa vizuri tz nzima ni yale yale ila mbeya wnaajitahidi hata mazingira yanavutia
 
Tell him this is Mbeya well organized kuliko huko kwenye limji lake ambalo hataji View attachment 2576490View attachment 2576491View attachment 2576492View attachment 2576493
Unakuta mtu akipiga picha za kwao hapafai maendeleo ziro halafu anakuja kuponda vitu Ambavyo haviendani kabisa Mbeya pazuri na sehemu nyingi bongo ni nzuri basi tu hatuna mipango mizuri ya miji ila sio kupondea kama ndio jalalani vile na chunguza wanaoponda sana ukihoji katokea Singida vijijini unamuonea hadi huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…