Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Mkuu tuheshimiane, kwanini unakuwa muongo muongo hivi?
Screenshot_20230401-145837_Samsung%20Internet.jpg
 
Mbeya wametia fora. Wamezidi. Hata ukiondoa kutopangwa na mamlaka husika, hata wananchi wenyewe tu hawaachiani nafasi. Ndio maana hata vibarabara vya lami vya kuingia mitaani vimepindapinda kama vichochoro.
Mfano:
1.Kabwe kwenda Isanga
2. Ilomba kwenda Isyesye
3. Kabwe kwenda Mwambene na Shewa
4. Ilomba kwenda VETA
5. Sae kwenda Ituha
6. Ilomba kwenda Mama John kupitia kwa Mgwasi
7. Mwanjelwa kwenda Isanga
8. Maghorofani kwenda Hospitali ya Mkoa hadi kwa Mwamnyange.
9. Ituta kwenda MUST(Imagine ilishindikana kujenga barabara ya lami kutoka Iyunga kwenda Must (njia fupi) kwa sababu ya kukosekana mipangilio
Sasa kupinda Kwa Barabara Kuna shida gani? Uswazi wa Mbeya haiwezi zidi Mwanza..

Uyole
that_mbeya_guy_1680353128961733.jpg
that_mbeya_guy_1680353128961951.jpg
that_mbeya_guy_1680353066234609.jpg
that_mbeya_guy_1680353066234960.jpg
that_mbeya_guy_1680353066234794.jpg
 
Tena kama Kwa mama John Bora wavunje TU njia nne ipite ukweli hii ni tz na mikoa ni yetu mbeya katika ujenzi njia nne wapanue haswa wapitie vile vijumba mbele ya mama John hapo fumua haswa inyooke
 
Mkoa wenyewe imejengwa hovyo hovyo hasa Mbeya mjini kuliko mkoa mwingine wowote hapa Tanzania. Miundo Mbinu mibovu kuliko mkoa mwingine wowote.

Mbeya mjini wameharibu jiografia kwa kujenga hovyo hadi kwenye vimilima kama kile cha Ilemi, cha Simike! Skwataz everywhere.
Acha chuki wapi pamejengwa vizuri tz nzima ni yale yale ila mbeya wnaajitahidi hata mazingira yanavutia
 
Tell him this is Mbeya well organized kuliko huko kwenye limji lake ambalo hataji View attachment 2576490View attachment 2576491View attachment 2576492View attachment 2576493
Unakuta mtu akipiga picha za kwao hapafai maendeleo ziro halafu anakuja kuponda vitu Ambavyo haviendani kabisa Mbeya pazuri na sehemu nyingi bongo ni nzuri basi tu hatuna mipango mizuri ya miji ila sio kupondea kama ndio jalalani vile na chunguza wanaoponda sana ukihoji katokea Singida vijijini unamuonea hadi huruma.
 
Back
Top Bottom