BinSalum7
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,733
- 3,847
Mkuu tuheshimiane, kwanini unakuwa muongo muongo hivi?Beautiful Matema beach,Lake Nyasa. View attachment 2571849View attachment 2571850View attachment 2571851
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tuheshimiane, kwanini unakuwa muongo muongo hivi?Beautiful Matema beach,Lake Nyasa. View attachment 2571849View attachment 2571850View attachment 2571851
Hujawahi jua hiyo fisi ni liongo?Mkuu tuheshimiane, kwanini unakuwa muongo muongo hivi?View attachment 2572969
Hizi hazifanani na zangu mbona? Lake Nyasa Iko na view Kali sana.Mkuu tuheshimiane, kwanini unakuwa muongo muongo hivi?View attachment 2572969
Hater 😁😁😁,inakuuma eeh.Hujawahi jua hiyo fisi ni liongo?
Sasa kupinda Kwa Barabara Kuna shida gani? Uswazi wa Mbeya haiwezi zidi Mwanza..Mbeya wametia fora. Wamezidi. Hata ukiondoa kutopangwa na mamlaka husika, hata wananchi wenyewe tu hawaachiani nafasi. Ndio maana hata vibarabara vya lami vya kuingia mitaani vimepindapinda kama vichochoro.
Mfano:
1.Kabwe kwenda Isanga
2. Ilomba kwenda Isyesye
3. Kabwe kwenda Mwambene na Shewa
4. Ilomba kwenda VETA
5. Sae kwenda Ituha
6. Ilomba kwenda Mama John kupitia kwa Mgwasi
7. Mwanjelwa kwenda Isanga
8. Maghorofani kwenda Hospitali ya Mkoa hadi kwa Mwamnyange.
9. Ituta kwenda MUST(Imagine ilishindikana kujenga barabara ya lami kutoka Iyunga kwenda Must (njia fupi) kwa sababu ya kukosekana mipangilio
Tena hana aibu hata kidogo huyu Mwaisa.Hujawahi jua hiyo fisi ni liongo?
Toa tofaut hapo.Hizi hazifanani na zangu mbona? Lake Nyasa Iko na view Kali sana.
Acha chuki wapi pamejengwa vizuri tz nzima ni yale yale ila mbeya wnaajitahidi hata mazingira yanavutiaMkoa wenyewe imejengwa hovyo hovyo hasa Mbeya mjini kuliko mkoa mwingine wowote hapa Tanzania. Miundo Mbinu mibovu kuliko mkoa mwingine wowote.
Mbeya mjini wameharibu jiografia kwa kujenga hovyo hadi kwenye vimilima kama kile cha Ilemi, cha Simike! Skwataz everywhere.
Tell him this is Mbeya well organized kuliko huko kwenye limji lake ambalo hatajiAcha chuki wapi pamejengwa vizuri tz nzima ni yale yale ila mbeya wnaajitahidi hata mazingira yanavutia
Unakuta mtu akipiga picha za kwao hapafai maendeleo ziro halafu anakuja kuponda vitu Ambavyo haviendani kabisa Mbeya pazuri na sehemu nyingi bongo ni nzuri basi tu hatuna mipango mizuri ya miji ila sio kupondea kama ndio jalalani vile na chunguza wanaoponda sana ukihoji katokea Singida vijijini unamuonea hadi huruma.Tell him this is Mbeya well organized kuliko huko kwenye limji lake ambalo hataji View attachment 2576490View attachment 2576491View attachment 2576492View attachment 2576493