Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Mbeya ndio inaongoza Kwa fertilizer consumption hapa Tanzania wewe hujui kitu.
Kwa hio unasherehekea ardhi iliokufa , Wenzio wanapanda mahindi bila mbolea na wanavuna. Biodiversity ya mbeya isha kufa, ardhi haina uhai tena. Watu wanaojielewa wanataka kurudi kwenye kilimo hai wewe unajitapia inorganic ! Umewahi fanyika utafiti kupima vyakula vinavyozalishwa mbeya ? Vyakula vya mbeya vimejaa sumu kwa taarifa yako. Na ndio maana magonjwa yamejaa tele.
Ardhi ya mbeya ilishakufa mkuu ni suala la mda tu, sema Tanzania mazombi ni wengi.
Ikija kutokea mtu akafanye utafiti wa vyakula mbeya basi havitaenda sokoni, vimejaa sumu.
Hii mada ya fertilizer naomba uiache maaana binafsi nimelima sana viazi. Nakuhakikishia serikali ikiamua ipime madhara ya fertilizer na viatilifu kwa watu wa mbeya itastaajabu. Uzuri TZ tunaishi kama makondoo tu ndio maana watu kama wewe mnafurahia matumizi ya chemicals kwenye mimea.
Mwanza nao hutumia kem9kali kwenye pamba marhara yake ni kidogo sana kwa sababu pamba hailiwi ispokuwa mafuta na mashudu kwa wanyama. Anza kampeni tlya kupunguza matumizi ya kemikali ili kunusuru afya za watanzania.
 
Unatapatapa.Ingeanza Kufa all over the World.

Matumizi makubwa ya mbolea=Tija kwenye uzalishaji sawa na faida zaidi ya kibiashara.

Mbeya ni Mkoa wa Kimkakati,na mbolea nyingine zimeshafika Kwa Ajili ya msimu Mpya wa kilimoπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/ngZmDWyQJtE?si=Q58xnlhXeaxsXzT1
 
Shayiro inayotumika Kuzalisha bia hapo TBL wewe unajua inalimwa wapi?

Kama sio viwanda ni nini? Mwanza vipo?

Kinachotafutwa ni kuwa na maisha ya middle class na sio kuwa Tajiri,Hilo linahitaji extra ordinary efforts ndio maana Mbeya ni Kati ya Mikoa 3 Tanzania yenye per Capita income kubwa.


Kilimo Cha ekari 5 kinafaa kabisa Kwa ku appy mechanisation na mbinu Bora za Kilimo ,Mbeya Hilo wanaweza tena unaamua ulime viazi,Tumbaku, parachichi,pareto,Mpunga au Kakao nk nk

Mwisho Mbeya ingekuwa Haina mzunguko wa pesa usingekuta mabilioni ya Mapato kama haya kwenye Halmashauri zake ,huwezi Kuta Mikoa mingine ya kipuuzi kama huko kwenu πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Bro, umesahau kufuta povu mdomoniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo ndiyo green city, watu wameshaanza kuweka viwanda miaka 5 ijayo litakuwa jiji la viwanda maana malighafi zitachakatwa kwanza huko ndiyo zisafirishwe
 
We jamaa unapambsnia home. Kwa hio hayo maisha ya uyole nzovwe mabatini ni middle income ? Mh haya bana chukua kombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…