ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #621
Sio kwamba shida unayo wewe au?Mbeya kuna shida ya pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwamba shida unayo wewe au?Mbeya kuna shida ya pesa
Sawa ila kwa wanaojitafuta mbeya sio sehemu salamaSio kwamba shida unayo wewe au?
Pole sana Mzee una shida mahala wewe sio BureSawa ila kwa wanaojitafuta mbeya sio sehemu salama
Hahaa kuna sehemu ukiwa unatoka town kama unaenda mbalizi kabla hujaaza kushuka mlima wa iwambi nazani ni karibu na shule ya loreza ukiwa eneo lile unaiona view yote ya mbalizi hamna sehemu naipenda kwa Mbeya kama ile unaweza dhani upo Monaco au capetown hasa iwe kipind cha MvuaUkweli usemwe Mbeya pazuri aiseeh...the Green City indeed...
Nimekaa miaka mi4 hapo,
Iyunga,CCM na Nzovwe.
- Hali ya hewa nzuri sana
- Uoto wa kupendeza
- Jiografia nzuri
- Chakula cha kutosha na gharama nafuu.
- Zoo ya Ifisi
- Watu wachapakazi
- Watu wakarimu
- Vyanzo vya mto kule nyuma ya chuo cha MUST
- Barabara ya kyela na mashamba yake
- Mlima Loleza
- Mashepu ya wadada sasa.
na nyama ya nguruwe wanauza ovyo sana na kila mataa kanisaIla
Mabaya yake...
Siwezi laumu kwenye barabara, kwa maana Jiografia yake Milima sana.
- Ukimwi mwingi sana, yani sana.
- Kila kituo daladala,kuna gesti pembeni
- Imani za shirki nazo ni nyingi
- Matukio yake ya uhalifu ni ya kibabe ,,Kupigwa nondo, kuchunwa ngozi,Kutobolewa macho,Kuteka wenye alama M kwenye viganja.
- Hakuna Usalama mida ya usiku,kuanzia saa 4
- Ajali nyingi sana
- Utumizi wa Mikorogo ni mwingi
- Unywaji wa pembe kali.
- Sehemu za kwenda kutembea hasa siku za mapumziko ni chache sana.
- Ujenzi holela, aiseeh.
Ah,ule mwinuko,ajali nyingi zimetokea pale....watu wengi wamekufa pale....Hahaa kuna sehemu ukiwa unatoka town kama unaenda mbalizi kabla hujaaza kushuka mlima wa iwambi nazani ni karibu na shule ya loreza ukiwa eneo lile unaiona view yote ya mbalizi hamna sehemu naipenda kwa Mbeya kama ile unaweza dhani upo Monaco au capetown hasa iwe kipind cha Mvua
Mbeya ni waprotestant,,so ,kitimoto ndiyo nyumbani, mana mifugo mingine haikubali huko....na nyama ya nguruwe wanauza ovyo sana na kila mataa kanisa
ehee iyunga bora umenikumbusha nilikua nachanganya na loreza ilo eneo la iyunga nalipenda sanaAh,ule mwinuko,ajali nyingi zimetokea pale....watu wengi wamekufa pale....
Mi napapenda pembeni mwa shule ya Iyunga....
Kuna mto Nzovwe pale,na kuna maji yanatoka kwenye mwamba ,ambayo yalizama maeneo ya Makao makuu ya polisi kule mjini.
Loleza ipo Uyole huko....ehee iyunga bora umenikumbusha nilikua nachanganya na loreza ilo eneo la iyunga nalipenda sana