Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Sawa ila kwa wanaojitafuta mbeya sio sehemu salama
Pole sana Mzee una shida mahala wewe sio Bure
20240503_044535.jpg
 
Ukweli usemwe Mbeya pazuri aiseeh...the Green City indeed...
Nimekaa miaka mi4 hapo,
Iyunga,CCM na Nzovwe.
  • Hali ya hewa nzuri sana
  • Uoto wa kupendeza
  • Jiografia nzuri
  • Chakula cha kutosha na gharama nafuu.
  • Zoo ya Ifisi
  • Watu wachapakazi
  • Watu wakarimu
  • Vyanzo vya mto kule nyuma ya chuo cha MUST
  • Barabara ya kyela na mashamba yake
  • Mlima Loleza
  • Mashepu ya wadada sasa.
 
Hahaa kuna sehemu ukiwa unatoka town kama unaenda mbalizi kabla hujaaza kushuka mlima wa iwambi nazani ni karibu na shule ya loreza ukiwa eneo lile unaiona view yote ya mbalizi hamna sehemu naipenda kwa Mbeya kama ile unaweza dhani upo Monaco au capetown hasa iwe kipind cha Mvua
 
Ila
Mabaya yake...
  • Ukimwi mwingi sana, yani sana.
  • Kila kituo daladala,kuna gesti pembeni
  • Imani za shirki nazo ni nyingi
  • Matukio yake ya uhalifu ni ya kibabe ,,Kupigwa nondo, kuchunwa ngozi,Kutobolewa macho,Kuteka wenye alama M kwenye viganja.
  • Hakuna Usalama mida ya usiku,kuanzia saa 4
  • Ajali nyingi sana
  • Utumizi wa Mikorogo ni mwingi
  • Unywaji wa pembe kali.
  • Sehemu za kwenda kutembea hasa siku za mapumziko ni chache sana.
  • Ujenzi holela, aiseeh.
Siwezi laumu kwenye barabara, kwa maana Jiografia yake Milima sana.
 
na nyama ya nguruwe wanauza ovyo sana na kila mataa kanisa
 
Hahaa kuna sehemu ukiwa unatoka town kama unaenda mbalizi kabla hujaaza kushuka mlima wa iwambi nazani ni karibu na shule ya loreza ukiwa eneo lile unaiona view yote ya mbalizi hamna sehemu naipenda kwa Mbeya kama ile unaweza dhani upo Monaco au capetown hasa iwe kipind cha Mvua
Ah,ule mwinuko,ajali nyingi zimetokea pale....watu wengi wamekufa pale....

Mi napapenda pembeni mwa shule ya Iyunga....
Kuna mto Nzovwe pale,na kuna maji yanatoka kwenye mwamba ,ambayo yalizama maeneo ya Makao makuu ya polisi kule mjini.
 
ehee iyunga bora umenikumbusha nilikua nachanganya na loreza ilo eneo la iyunga nalipenda sana
 
Wenye Mbeya yao...

Wasafwa
Wanyakyusa
Wanyamwanga
Wanyiha
Wandali
Wamalila
Wasangu
Wanji
Walambya
Wakimbu

....
 
Back
Top Bottom