Uzuri ni kuwa hawa sioni kama wanaonewa,ila wanakubali kwa hiyari yao kuwa waimba mapambio au kuimbishwa mapambio tena kwa sauti kuu huku wakidhulumiwa na kuporwa haki zao za msingi,hata wanaojitokeza kuwasaidia wanaona hawana maana.
Unaufahamu uzalendo wewe? Au umeandika tu ili ufurahishe genge?Waswahili wana msemo wao kwamba ukitaka kuruka hakikisha unaagana na nyonga yako. Watanzania tulio wengi tunapenda kuyasikia maendeleo mazuri lakini hatuko tayari kuyagharamia. Waingereza wana msemo wao kwamba No Free Lunch. Bajeti kuu ya serikali ya mwaka 2021/2022 imetengeneza mazingira ya kila mwananchi ahusike kulipa kodi.
Taifa lolote imara mapato yao makubwa hutegemea kodi. Na nchi nyingi zilizoendelea kwao huwa ni fahari mtu kulipa kodi kwa ajili ya taifa lake. Lakini kwetu Afrika mtu anaona fahari kukwepa kodi wakati wenzetu kukwepa kodi ni fedheha sana katika taifa lako.
Tuna miaka 61 tangu tupate uhuru lakini maendeleo tuliyo nayo kama taifa hayaendani na umri wetu. Tukitaka mambo rahisi taifa letu litazidi kuwa maskini. Kodi ya mwaka huu inamfanya kila mwananchi ahusike kuijenga nchi yake ambayo itamfanya kuwa na wivu na taifa lake na atakuwa sehemu ya ujenzi wa taifa lake.
Kwenye hizi kodi watu wengi tumekimbilia kushambulia viongozi wetu na kusahau kuangalia faida itakayopatikana baada ya makato hayo. Barabara vijijini zitaboreshwa na zahanati nyingi zitajengwa kutokana na kodi hizo. Hii itapelekea nchi yetu kukua kwa kasi. Lazima kila mwananchi afunge mkanda ili tuyafikie maendeleo tunayoyakusudia kama taifa.
Wakati tunashangilia kwamba kila kijiji kinatarajia kuwa na umeme ni hizo kodi zetu zilizokatwa kwenye mafuta. Kwanini tusiendelee kukaza mkanda ili taifa letu tulitoe kwenye ombwe la umaskini.
Taifa letu inabidi likue tusitegemee sana misaada ya wenzetu. Mtegemea cha nduguye hufa maskini. Hii kodi imeitwa solidarity fund ambapo itapelekea nchi yetu kukua kwa kasi kimaendeleo.
Mimi siyo mtaalamu wa uchumi ila naiona nia ya dhati ya serikali ya kuwakomboa wananchi wote kwenye mazingira yao.
Haya mambo hatukayazoea ya kukatwa hela hizo lakini hiyo ndio njia nzuri ya kufanikiwa. Hatuwezi kubaki na mawazo yaleyale kama taifa halafu tukawaza kusonga mbele. Hii tusiichukulie kama adhabu bali tuone ni fahari kulipa kodi kwa ajili ya taifa letu.
Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe.
#lipakodibilashuruti
#tanzaniaitajengwanawatanzania
Mama nchi ishamshinda aachie ngaziTartiiiiiiiiibu CCM Inaenda Kujimaliza Yenyewe.
HAKUNA mlala hoi hata mmoja ambaye hili halitamgusa. Na kwa Kuwa Linawagusa Wengi usidhani Wataendelea Kukuchekea..... ! Take care

Mbona kodi zinalipwa tatizo ni aina zipi za kodi zilipwe , pia kodi iwiane na maendeleo na matumizi, hata ulipe kodi vipi kama matumizi yasiyo ya msingi ni makubwa basi kodi inakuwa haina maana kwa kuleta maendeleo, uzalendo uanzie kwanza kwa hao hao wanaosema tulipe kodi, nadhani umeona matumizi yao.Waswahili wana msemo wao kwamba ukitaka kuruka hakikisha unaagana na nyonga yako. Watanzania tulio wengi tunapenda kuyasikia maendeleo mazuri lakini hatuko tayari kuyagharamia. Waingereza wana msemo wao kwamba No Free Lunch. Bajeti kuu ya serikali ya mwaka 2021/2022 imetengeneza mazingira ya kila mwananchi ahusike kulipa kodi.