Hakuna Mlipa Kodi anayependa kodi! Serikali na wananchi wajue hili

There is no free lunch ni lazima mtu atoke jasho na ajue namna ya kuishi kwa nidhamu.

Kodi ingeweza kabisa isiwekwe kwenye miamala na kuwekwa kwingine na bado huko ambapo ingewekwa kungekuwa na kilio hiki hiki cha sasa.
 
There is no free lunch ni lazima mtu atoke jasho na ajue namna ya kuishi kwa nidhamu.

Kodi ingeweza kabisa isiwekwe kwenye miamala na kuwekwa kwingine na bado huko ambapo ingewekwa kungekuwa na kilio hiki hiki cha sasa.

Hahahaa haa 😂😂.

Chawa watatokea tena kushangilia sana.

Hawajui nini wanachotaka au nini hawataki.

Hiiiiii bagosha!
 
Kodi ya VAT inakatwa. Na tozo juu! Kama kodi imeshakatwa tozo ni ya Nini? Tena inaitwa tozo ya serikali kwani hiyo VAT ni ya nani?
 
Upuuzi mtupu, raha ya kulipa kodi upate chombo imara ambacho kitahoji na kusimamia matumizi ya kodi inayolipwa ipasavyo. Kwa bunge hili dhaifu la Ndugai lenye wabunge vilaza waliopita bila ya kuchaguliwa ni nani ambaye atakua na hamu ya kulipa kodi??
 
elimu ya kodi
 
Ni afadhali kuamua kulipa kodi stahiki bila shuruti.

Waulizeni yaliyowakuta awamu ilopita!
 
Atakuja tena mwenye kariba ya anko Maguu na ataagiza kurudi nyuma miaka 10-15 nakwambia itakuwa patashika nguo kuchanika [emoji3][emoji3]

Jizoesheni kulipa kodi stahiki bila shuruti itawaweka huru na amani maisha yenu yote !
 
Awamu ilopita wafanyabiashara wakubwa walitwaliwa sijajua ni coincidence au mipango ya Mungu au ni vipi ?!

Anko Maguu ametuachia funzo kubwa sana , werevu hutafakari na kuchukua hatua kuepuka madhira!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…