Hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kushindana na Rais Samia kwenye jukwaa wala ndani ya sanduku la kura

Mapema sana kuongea. Tunataka katiba moya kwanza kisha tume huru ya uchaguzi, halafu ndipo usemw hayo
 
Ndoto za mchana ni ngum kuliko za usiku ,ndo maana Mungu anaitwa na kubaki kuwa Mungu
 
Umekuwa chawa kumzidi mpaka Sufian[emoji706]
 
Nimejuta kusoma hii thread, yaani umeniondolea udhu kabisa. Hii Nchi ina watu wengi ambao inabidi wabaki darasani kufundishwa mambo mengi tu! Huyu anajua kusoma na kuandika tu lakini bado mweupeee kichwani.
 
Ndoto za mchana ni ngum kuliko za usiku ,ndo maana Mungu anaitwa na kubaki kuwa Mungu
Kwa wenye Imani Ndoto huwa na ukweli ndani take,Katika hili hii siyo ndoto Bali Ni ukweli kuwa hayupo mpinzani Mwenye Uwezo wa kushindana na Rais Samia
 
Mapema sana kuongea. Tunataka katiba moya kwanza kisha tume huru ya uchaguzi, halafu ndipo usemw hayo
Hata ije tume ya uchaguzi kutoka marekani bado upinzani hauwezi kuambilia chochote kile kwa kuwa hauna Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…