Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Msichana aliyeumbika vizuri na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.

Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.

Nataka kusema nini? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.

Nimemaliza!
 
25 unaolewa unakimbiliaa ndoaa ya nn wkt ujana ujaumalizaa ujatoa hata mimbaa 3 ndoaa itakushnda ,,angalau 29 nakuendelea ndio uwaze kuolewaa..

NA C LAZIMA KUOLEWA AU KUOAA..

KATAAA NDOAAAAAA...
 
Unaonge house girls au wasomi huo ndiyo umri wa kimaliza vyuo!
 
Mbona Rihanna wa Matejo bado?
 
nakubaliana na wewe kwa asilimia zote mia moja japo watakuja masingle mother wa jf kupinga ila ukweli unabaki pale pale hakuna binti mzuri wa sura na tabia atafika 26 hajaolema na wanaume hua wanawanyukua haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…