- Thread starter
- #441
Huyu nimwanaume above 70 kaoa mtoto wa 11 years. Kinyume chake inawezekana??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu nimwanaume above 70 kaoa mtoto wa 11 years. Kinyume chake inawezekana??
Maneno makali sanaKilichokufanya usiolewe mpk miaka 33 ni Nini kama siyo uzinzi? Unaolewa miaka 33 ili update nn zaidi ya kusumbua mkaka wa watu kukupeleka tiba mbadala ili update mimba?
Ninyi ndiyo mnazaa mtoto mmoja tu tena mwenye mtindio wa ubongo. Maana mifuko ya uzazi ishaharibiwa na midonge ya kutoa mimba tangu ukiwa na miaka 13 mpaka 33 umetoa mimba zaidi ya 20.
Na huyo aliyekuoa naye atakuwa hamnazo au labda ni mbabu wa miaka 80. Mwanamke miaka 33 unampeleka wapi? Na wa nn?
Kuanza naye maisha hapana, umri huo anatakiwa awe keshaolewa tayariMiaka 33 kweli mwanamke anakuwa hatazamiki Sexless ? Mbona umri huo bado ni wa kijana kabisa.
Duuuh mbona makasiriko [emoji848][emoji848][emoji848]Wewe mwehu nini!
Aki wenye sura za baba zetu tumewakosea nini jamaniii! Ebu tuacheni bhana 😂😂😂😂Wenye sura za baba zenu ndiyo mnabakia mitaani na mnaleta na mabango humu
Daaaaah sasa hivi mtu akikumimba then akasepa ni kumroga tu no way out. Hizi kebehi kwa masingo maza zimezidi sana. Hakuna mtu anapenda kuzalishwa na kuachwa punguzeni ukali wa maneno!Hiyo mishisha kama gari moshi,unavozipenda bange/
ATAKUOA NANI
Umezidisha kila party hukosi na lazima uliwe/
ATAKUOA NANI.
Mwili umejaa matattoo,na hayo matattoo unatembea kwa miguu/
ATAKUOA NANI.
Na unavozipenda pombeee,ukishalewa wanaswaga kama ling`ombe/
ATAKUOA NANI.
Na huo usingo maza na unavorembua,nyodo kibao,na shepu yako ya box/
ATAKUOA NANI..
Halafu kama ni singo mama hata uwe na miaka 20,tako laini,sura nzuri,tabia nzuri nenda kacheze porno tu/
HUOLEWI NG'O!!!
Point[emoji3578]Msichana aliyeumbika vizuri na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.
Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.
Nataka kusema nini? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.
Nimemaliza!
Ndiyo maana hawaonekani JF muda huu. Miguu yao imepinduliwa chini juu kama buibuiWadada wa JF this time around wanakula bakora ile kiroho mbaya..
Acheni hizo wakuu.
Kuzalishwa na kuachwa sio hoja...tatizo linaanzia pale unapoolewa halafu unaendelea kuwasiliana na baba wa mtoto...Daaaaah sasa hivi mtu akikumimba then akasepa ni kumroga tu no way out. Hizi kebehi kwa masingo maza zimezidi sana. Hakuna mtu anapenda kuzalishwa na kuachwa punguzeni ukali wa maneno!
Kwahiyo mnakomaa kutuchamba kwa vile hamna pesa na mliitwa vibamia?!! 🤔Munaposema
1)Mwanaume Hana pesa
2)Mwanaume kibamia nk
Kwani hua hamuingiliii mipango ya Mungu
Hata asiye singo maza ana uwezo wa kudate na wewe huku akiwasiliana na ex wake!Kuzalishwa na kuachwa sio hoja...tatizo linaanzia pale unapoolewa halafu unaendelea kuwasiliana na baba wa mtoto...
Ndio sababu inafanya tuwaogope singo maza kuliko kituo cha polisi..
Huyo ni rahisi kumzuia,ila sio singo maza...singo maza haolewi labda aoneshe kaburi la baba wa mtoto wake.Hata asiye singo maza ana uwezo wa kudate na wewe huku akiwasiliana na ex wake!
HahahaBinti anafika kwenye maximam uzuri akiwa na 22 na katika age hiyo wajuba kibao wanammezea mate na yeye kwakuwa beki hazikabi anaacha mlango wazi wageni wanagonga sana ,sasa wageni wakigonga sana title yake inabadilika na anakuwa malaya then hakuna mwanamme anayeoa malaya hence wanaokuja watakuwa hit and run akija kustuka 30s hii no ndoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Murife Don't run..Wewe mwehu nini!