Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Msichana aliyeumbika vizuri na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.

Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.

Nataka kusema nini? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.

Nimemaliza!
Hoja yako iko na mapungufu kadhaa likiwemo suala la kuzingatia factor Kama

Elimu, imethibitika kuwa wasichana wanaotumia muda mwingi kwenye elimu huwa wakichelewa sana kuolewa na kuanzisha familia. Kwahiyo msichana anaweza jikuta anachelewa kuolewa akiwa na tabia njema kabisa na bila mapungufu yoyote ila kwa kucheleweshwa na mchakato wa elimu.

Mazingira yanayomzunguka msichana husika,
hapa msichana anaweza jikuta yupo katika mazingira yanayombana sana na kutompa fursa ya kukutana na jamii ya waoji hivyo msichana anaweza kuja olewa na 25+ huku akiwa na tabia njema kumpita hata yule aliyeolewa akiwa Bellow 25.

Malezi/Imani za kidini/kimila.
Kuna aina Fulani ya malezi ambayo huwa na udhibiti mkubwa kwa watoto wa kike ili wasichangamane kikamilifu na jamii zao kwa kuamini kuwa kumpa Uhuru msichana ni kumfanya aharibikiwe na kuharibu sifa ya familia hivyo ule udhibiti unaweza pelekea msichana mwenye tabia njema akajikuta anaolewa kwa kuchelewa..
 
Hivi Mwanamke akichukua sura ya Baba yake ndio lazima awe mbaya?
Ndiyo. Tunategemea mama ndiyo awe na sura nzuri kuliko baba. Sasa kama mtoto kachukua sura ya baba maana yake kachukua sura mbaya
 
Issue siyo kushukuru Mungu. Mungu hapa huwa anapewa lawama za bure.

Wote ambao hawapati wachumba mpka 25 Wana tabia mbovu ama Wana sura mbovu
Tabia mbovu sawa ila kama wana sura mbovu kosa ni la nani? Wao wana kosa gani na hawakujiumba?

Kuna mada zingine ni za kuwaumiza wanawake kisaikolojia tu

U could feel their pain kama ungekuwa Mwanamke above 25 with no hubby

Then kwenye maisha kila kitu ni mipango ya Mungu hata Ndoa.
 
Ndiyo. Tunategemea mama ndiyo awe na sura nzuri kuliko baba. Sasa kama mtoto kachukua sura ya baba maana yake kachukua sura mbaya
Na kama Baba ndio mwenye sura nzuri kuliko mama?
 
Kilichokufanya usiolewe mpk miaka 33 ni Nini kama siyo uzinzi? Unaolewa miaka 33 ili update nn zaidi ya kusumbua mkaka wa watu kukupeleka tiba mbadala ili update mimba?

Ninyi ndiyo mnazaa mtoto mmoja tu tena mwenye mtindio wa ubongo. Maana mifuko ya uzazi ishaharibiwa na midonge ya kutoa mimba tangu ukiwa na miaka 13 mpaka 33 umetoa mimba zaidi ya 20.

Na huyo aliyekuoa naye atakuwa hamnazo au labda ni mbabu wa miaka 80. Mwanamke miaka 33 unampeleka wapi? Na wa nn?

Miaka 33 kaoa ngariba
 
Mtoto wako wa Kwanza Ana umri gani?
Punguza kujitetea.
Sipo hapa kujitetea hili ni jukwaa la kuelimishana, nina watoto 3 wa mwisho ana 3 years, nina ndoa yenye Furaha kwa sababu I live my life hata watu wengine nawashauri hivyo, ishi maisha yako na uwajibike na maamuzi utakayoyafanya, hakuna anaehusika na kufeli kwangu kwenye kitu chochote, wanawake wasitiwe hofu wakajikuta wanaingia kwenye ndoa ya majuto eti kwa sababu umri umeenda, Mwanamke wawekeze kwenye akili, uzuri una kikomo maarifa hayana kikomo.
 
Kilichokufanya usiolewe mpk miaka 33 ni Nini kama siyo uzinzi? Unaolewa miaka 33 ili update nn zaidi ya kusumbua mkaka wa watu kukupeleka tiba mbadala ili update mimba?

Ninyi ndiyo mnazaa mtoto mmoja tu tena mwenye mtindio wa ubongo. Maana mifuko ya uzazi ishaharibiwa na midonge ya kutoa mimba tangu ukiwa na miaka 13 mpaka 33 umetoa mimba zaidi ya 20.

Na huyo aliyekuoa naye atakuwa hamnazo au labda ni mbabu wa miaka 80. Mwanamke miaka 33 unampeleka wapi? Na wa nn?
Ni kwa sababu wewe au ndugu yako mliwahi kushiriki kwenye utoaji mimba ndo maana, wanangu wote ni responsible kids kama mama yao,na hakuna mwenye shida yoyote, sishangai ukinishambulia hivi kwa sababu hunijui na mimi sikujui ninachoandika usikichukulie binafsi utaumia sana. Muda wote huo niliamua kutulia ndo maana nilipata mume anaenipenda kweli maana mimi ni mtulivu wa mwili na akili pia.
 
Mmh! Kwamba from 13 to 33 ulikuwa ukipatwa hamu unatumia nn? Tango, mpingo wa mmakonde ama maji ya moto?

Point yangu hapa at that age unakuwa ushapitia vingi na kupitiwa na wengi. How can resist peer pressure up to that age?

Unatuingiza mjini mchana wote huu?
 
Back
Top Bottom