Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Kwa taarifa yako amenikuta Mwanamke safi mzuri, independent,sio kila mtu ambaye hajaolewa anapenda kuchezea hayo mavitu ambayo hata nguvu hayana, mimi nimewekeza akili yangu katika mambo ya kuniendeleza mimi na watu walionizunguka, pole kama wewe ndo mtumba au umeoa mtumba. Nimeishi mwenyewe miaka zaidi ya 6 sijawahi lala nje na kwangu au mwanaume kulala kwangu, hata huyu alienioa alishangaa kuwa kumbe najua kupika baada ya kunioa, self commitment ni muhimu, tuwe makini na tuanayowaza vinginevyo utajikuta mwanao wa kike hana cha kujifunza kutoka kwako, mimi ni mfano wa kuigwa hata kwa wasichana wangu wa ndani. Sijacomment hapa kumfurahisha mtu ni maisha yangu binafsi, wanaume walikuwa wananifuata ndio lakini mimi sikujiweka karibu na sex mongers, hadi sasa najiweka karibu na wanaume wanaoheshimu wanawake.
Mtoto wako wa Kwanza Ana umri gani?
Punguza kujitetea.
 
Sintasahau na naomba nishauri kitu kwa wanaume wote wanaohitaji kuoa kupitia ushuhuda wangu .Mdada yeyote awe kanisa ni au msikitini alifikisha umri wa miaka 30 tafadhali jibe muda wa kutosha kabla ya kufanya maamuzi ya kumuoa.Sisemi usimuoe mpe muda wa kusoma haswa.Mimi yalinipata yafuatayo na nilikurupuka na kuzuzuliwa na uzuri wake .

1.Nikoswa koswa kuchomwa kisu mara tatu ndoa ikiwa na mwezi mmoja.
2.Kabla yangu aliwahi kuwa na wanaume wakutosha ambao wengine alikula vyao wakaahidi kumkomesha baada ya kusikia amefunga ndoa alichezewa kimazingara hatari.
Hii inabid uifungulie uzi kabsa mkuu
 
Umeongea kitu cha kawaida sana mkuu,nilidhan umekuja na kigezo kipya cha wanawake kuolewa,apo mwisho ungemalizia unless yeye mwnyw hatak kuolewa ama lesbian

Km mm chupi kali yenye afya njema me naweka ndan,tabia tainyoosha umo umo ndan

Ww sio muhoaji
 
Kwa taarifa yako amenikuta Mwanamke safi mzuri, independent,sio kila mtu ambaye hajaolewa anapenda kuchezea hayo mavitu ambayo hata nguvu hayana, mimi nimewekeza akili yangu katika mambo ya kuniendeleza mimi na watu walionizunguka, pole kama wewe ndo mtumba au umeoa mtumba. Nimeishi mwenyewe miaka zaidi ya 6 sijawahi lala nje na kwangu au mwanaume kulala kwangu, hata huyu alienioa alishangaa kuwa kumbe najua kupika baada ya kunioa, self commitment ni muhimu, tuwe makini na tuanayowaza vinginevyo utajikuta mwanao wa kike hana cha kujifunza kutoka kwako, mimi ni mfano wa kuigwa hata kwa wasichana wangu wa ndani. Sijacomment hapa kumfurahisha mtu ni maisha yangu binafsi, wanaume walikuwa wananifuata ndio lakini mimi sikujiweka karibu na sex mongers, hadi sasa najiweka karibu na wanaume wanaoheshimu wanawake.
Kilichokufanya usiolewe mpk miaka 33 ni Nini kama siyo uzinzi? Unaolewa miaka 33 ili update nn zaidi ya kusumbua mkaka wa watu kukupeleka tiba mbadala ili update mimba?

Ninyi ndiyo mnazaa mtoto mmoja tu tena mwenye mtindio wa ubongo. Maana mifuko ya uzazi ishaharibiwa na midonge ya kutoa mimba tangu ukiwa na miaka 13 mpaka 33 umetoa mimba zaidi ya 20.

Na huyo aliyekuoa naye atakuwa hamnazo au labda ni mbabu wa miaka 80. Mwanamke miaka 33 unampeleka wapi? Na wa nn?
 
Msichana aliyeumbika vizuri na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.

Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.

Nataka kusema nini? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.

Nimemaliza!
Wasichana wazuri wenye tabia njema waliisha tokea 1968...
 
Kwasababu gani inakuwa no kwa mwanamke Sexless ?
Mwanamke by nature anakua haraka Sana. Ndiyo maana Kuna nchi mwanamke anaolewa akibalehe tu (miaka 14). Lkn ushasikia wapi mtoto wa kiume miaka 14 kaoa?

Tuje kisayansi sasa. Menopause (kukoma kwa siku za mwanamke ie menstruation cycle) ni miaka 45. Kwahiyo mwanamke anapaswa kuzaa kabla ya miaka 45.

Tafsiri yake mwanamke akifika 45 ni mzee ama ukipenda bibi kizee. Sasa huyu wa miaka 33 si hatazamiki!
 
Mwanamke by nature anakua haraka Sana. Ndiyo maana Kuna nchi mwanamke anaolewa akibalehe tu (miaka 14). Lkn ushasikia wapi mtoto wa kiume miaka 14 kaoa?

Tuje kisayansi sasa. Menopause (kukoma kwa siku za mwanamke ie menstruation cycle) ni miaka 45. Kwahiyo mwanamke anapaswa kuzaa kabla ya miaka 45.

Tafsiri yake mwanamke akifika 45 ni mzee ama ukipenda bibi kizee. Sasa huyu wa miaka 33 si hatazamiki.
Nimekuelewa Sexless na mwanaume wa miaka 45, yeye ni mzee au kijana bado? Daa!
 
Back
Top Bottom