Kwa taarifa yako amenikuta Mwanamke safi mzuri, independent,sio kila mtu ambaye hajaolewa anapenda kuchezea hayo mavitu ambayo hata nguvu hayana, mimi nimewekeza akili yangu katika mambo ya kuniendeleza mimi na watu walionizunguka, pole kama wewe ndo mtumba au umeoa mtumba. Nimeishi mwenyewe miaka zaidi ya 6 sijawahi lala nje na kwangu au mwanaume kulala kwangu, hata huyu alienioa alishangaa kuwa kumbe najua kupika baada ya kunioa, self commitment ni muhimu, tuwe makini na tuanayowaza vinginevyo utajikuta mwanao wa kike hana cha kujifunza kutoka kwako, mimi ni mfano wa kuigwa hata kwa wasichana wangu wa ndani. Sijacomment hapa kumfurahisha mtu ni maisha yangu binafsi, wanaume walikuwa wananifuata ndio lakini mimi sikujiweka karibu na sex mongers, hadi sasa najiweka karibu na wanaume wanaoheshimu wanawake.