Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Huu utafiti umeufanyia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazuri wa sura na tabia wanatolewa mahari mwaka wa kwanza tu. Ukiona unamaliza chuo hujaolewa kajiangalie kwenye kioo halafu jilinganishe na sura ya babako. Ukiona hufanani na babako niite mbwaUnaonge house girls au wasomi huo ndiyo umri wa kimaliza vyuo!
Ongeza nyama .....Ni mzuri wa sura na umbo kubwa zaidi alikuwa na kazi nzuri na kwao ni mtoto wa mwisho. Nilizama kwenye penzi na kaamua nioe kabisa mapicha picha yalianza ya kutosha
ongezea nyama mkuu mapicha picha yapi hayoNi mzuri wa sura na umbo kubwa zaidi alikuwa na kazi nzuri na kwao ni mtoto wa mwisho. Nilizama kwenye penzi na kaamua nioe kabisa mapicha picha yalianza ya kutosha
Hakuna mkuu. Hata kama una dada zako au majirani lkn hawajaolewa at 25 walinganishe sura zao na zile za baba zao. Kama hawajafanana na baba zao nasimamia uwanja wa Mkapa uniite MBWAHuu utafiti umeufanyia wapi?
Sawa mkuu ni mtazamo wako sio sheriaHakuna mkuu. Hata kama una dada zako au majirani lkn hawajaolewa at 25 walinganishe sura zao na zile za baba zao. Kama hawajafanana na baba zao nasimamia uwanja wa Mkapa uniite MBWA
Usithubutu kuoa mdada mwenye 25+ utanikumbuka!Waoaji kimya tunacheki mtanange kumbe napaswa kuoa under 25 ili nipate mzuri
Kama umebahatika umeolewa mapema na dada zako pia shukuru MunguMsichana aliyeumbika na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.
Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.
Nataka kusema nn? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.
Nimemaliza!
Hata kama naitafuta 40 nioe under 25?Usithubutu kuoa mdada mwenye 25+ utanikumbuka!
Issue siyo kushukuru Mungu. Mungu hapa huwa anapewa lawama za bure.Kama umebahatika umeolewa mapema na dada zako pia shukuru Mungu
Eeh tuendelee..Mkubwa umemaliza kila kitu . Niliwahi kumkuta mdada mrembo sana na miaka yake 32. Nikafakamia kilichonipata nitasimulia maisha yangu yote.
I think inategemea na familia ya uyo binti na akili za wazazi wake pia😂😂nakubaliana na wewe kwa asilimia zote mia moja japo watakuja masingle mother wa jf kupinga ila ukweli unabaki pale pale hakuna binti mzuri wa sura na tabia atafika 26 hajaolema na wanaume hua wanawanyukua haraka sana.
Mwanaume hazeeki mkuu. Profesa Kapuya kaoa binti wa 24 wakati yeye akiwa na 76. Wako kwenye ndoa mwaka wa 5 huu sasaHata kama naitafuta 40 nioe under 25?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tokaaa Lini mwanaumee akakojolewaaa mkuu....Utakuwa na sura ya babako wewe. Umekataliwa na wanaume zaidi 10, wamepiga wakakojoa halafu wakasepa
Mkuu wimbo wa nan huo nimeupendaHiyo mishisha kama gari moshi,unavozipenda bange/
ATAKUOA NANI
Umezidisha kila party hukosi na lazima uliwe/
ATAKUOA NANI.
Mwili umejaa matattoo,na hayo matattoo unatembea kwa miguu/
ATAKUOA NANI.
Na unavozipenda pombeee,ukishalewa wanaswaga kama ling`ombe/
ATAKUOA NANI.
Na huo usingo maza na unavorembua,nyodo kibao,na shepu yako ya box/
ATAKUOA NANI..
Halafu kama ni singo mama hata uwe na miaka 20,tako laini,sura nzuri,tabia nzuri nenda kacheze porno tu/
HUOLEWI NG'O!!!
Muogope Mungu. Ishi kama mtu mwenye kujuwa vile Mungu anafanya kazi. Sio kila mtu ataolewa wala sio kila mtu ataowa. Wapo wanawake wazuri na wenye adabu hawana waume na wanahaha na madangwa yao hwuwez amini ila wapo pia wanaume handsome hawawez Kaa ma mke. Mungu hadhihakiwi chochote ambandacho mtu huvuna. EndMsichana aliyeumbika na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.
Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.
Nataka kusema nn? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.
Nimemaliza!