Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,572
- 5,945
Wapo bhanaa😂😂😂Dah hawapo Kwa kweli, Kila ukijaribu unaona lock ishafunguliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo bhanaa😂😂😂Dah hawapo Kwa kweli, Kila ukijaribu unaona lock ishafunguliwa.
Kama yupo naomba anicheki inbox. Tumtangaze CNN kama mwanamke wa shokaJamanii wee kakaa.. Mbona wapoo loh😂😂
Wapo mkoa gani au wapi?Wapo bhanaa😂😂😂
Kuna jirani yangu hapa ako na 32 japokua anaishi na bibi yake ...ni hajui kitu😂😂.. Loh na wengine nimeshuhudia kama wa5 hivi... 😂😂Kama yupo naomba anicheki inbox. Tumtangaze CNN kama mwanamke wa shoka
Huku huku kwny joto😂Wapo mkoa gani au wapi?
Labda wanafunzi ambao ukiwagusa namba 30 inakuhusu kimachalemachale.
Alioshea malimao na mkono wa tembo ukaingia king kwamba ana bikra.Nimemtoa hapa hapa mjini, huwezi amini
Hakuna.!!!!Wapo bhanaa😂😂😂
Dsm ndo hawapo kabisa.Huku huku kwny joto😂
Sura mbovu kaziumba nani?Issue siyo kushukuru Mungu. Mungu hapa huwa anapewa lawama za bure.
Wote ambao hawapati wachumba mpka 25 Wana tabia mbovu ama Wana sura mbovu
Mkuu Kuna ndugu yangu hajaoa mpk leo. Nitamsitua akucheki inbox umuunganisheKuna jirani yangu hapa ako na 32 japokua anaishi na bibi yake ...ni hajui kitu😂😂.. Loh na wengine nimeshuhudia kama wa5 hivi... 😂😂
Alioshea malimao na mkono wa tembo ukaingia king kwamba ana bikra.
Pia siku hizi Kuna mafuta ya mchina mwanamke akipaka siku 2 utadanganyika kuwa ni bikra.
Ndugu yangu umeibiwa
Usiseme hakuna sema hujawahi kukutana nao wapo tena wengi tu, nyie wake zenu si mnawatoa instagram.Alioshea malimao na mkono wa tembo ukaingia king kwamba ana bikra.
Pia siku hizi Kuna mafuta ya mchina mwanamke akipaka siku 2 utadanganyika kuwa ni bikra.
Ndugu yangu umeibiwa
Kama nayeye ni bikra uyo nduguyo mlete😂😂Mkuu Kuna ndugu yangu hajaoa mpk leo. Nitamsitua akucheki inbox umuunganishe
Jamanii wee kakaa.. Mbona wapoo loh😂😂
This made my night wallah! 😂😂Wewe mwehu nini!