KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,540
Mi nina mtu namjua kweli ana sura ya babaHakuna mkuu. Hata kama una dada zako au majirani lkn hawajaolewa at 25 walinganishe sura zao na zile za baba zao. Kama hawajafanana na baba zao nasimamia uwanja wa Mkapa uniite MBWA
Ana miaka 30 bado anasema eti yy mdogo 😂😂😂😂
Daah namwonea huruma sana