Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Watu wa mungu hawa sengenyi
Kutwa kuwasema wanawake wasio olewa
Mi sijamsema mtu I'm talking from experience

Madam hao wanawake above 25 sio wa kuweka ndani ni wa kusuuzia rungu na kusepa

Na hii kitu naona kwa watu wanaonizunguka sanasana

Hivyo si sengenyi huo ndo ukweli ulio mkuu

Na ubaya najua unauma sana ila ndo hivyo we kubali tu

Kama we ni mwanamke na huna sura nzuri au shepu nzuri basi afadhali hata uwe mtu wa Mungu kwelikweli

Mungu ndo anaeweza kukuokoa kwenye hili janga la kutokuolewa acha niishie hapo 😬😬😬
 
Wengi waliolewa na hawana ndoa.
Shida sio kuwahi kuolewa shida ipo kumanage na ukamaliza katika ndoa.
Kuna wanaoachika njiani kuna wanabaki wajane.
Usinange shamba la mwenzio kama nzige hawajfika kwako.
Kabisa na ni wengi mno mwingineana 30 kashaolewa mar 2 had Tatu
Kuolewa kunatakiwa utulivu wa akili na nafsi sio kwasabbu Fulani fulan
 
Kabisa na ni wengi mno mwingineana 30 kashaolewa mar 2 had Tatu
Kuolewa kunatakiwa utulivu wa akili na nafsi sio kwasabbu Fulani fulan
Dunia ina mengi na vita kubwa ipo kwenu KE. Mna vita kubwa Ukiachana na haya mashindano ya sijui flani kaolewa flani bila bila.... Kuna vita nyingi.
Maza Huwa ananiambia mengi sana.
 
Muogope Mungu. Ishi kama mtu mwenye kujuwa vile Mungu anafanya kazi. Sio kila mtu ataolewa wala sio kila mtu ataowa. Wapo wanawake wazuri na wenye adabu hawana waume na wanahaha na madangwa yao hwuwez amini ila wapo pia wanaume handsome hawawez Kaa ma mke. Mungu hadhihakiwi chochote ambandacho mtu huvuna. End
Sahihi mkuu,kuoa au kuolewa ni mpango wa Mungu,kuna watu wameolewa wana 40+ na wamedumu kwenye ndoa,na kuna wa below 25 hawajapata hata wachumba,si kweli kwamba kuchelewa kuolewa ni sababu ya sura mbaya na tabia,unaweza ukawa na hiyo 25 lkn ukakisa wa kukuoa kila anayekuja sio sahihi.
 
Mi sijamsema mtu I'm talking from experience

Madam hao wanawake above 25 sio wa kuweka ndani ni wa kusuuzia rungu na kusepa

Na hii kitu naona kwa watu wanaonizunguka sanasana

Hivyo si sengenyi huo ndo ukweli ulio mkuu

Na ubaya najua unauma sana ila ndo hivyo we kubali tu

Kama we ni mwanamke na huna sura nzuri au shepu nzuri basi afadhali hata uwe mtu wa Mungu kwelikweli

Mungu ndo anaeweza kukuokoa kwenye hili janga la kutokuolewa acha niishie hapo
kwahiyo wenye sura za baba zetu tusali sana na kufunga
Ila tambua kumuweka mwanamke mzur ndan nikujitafutia ugonjwa wa moyo dogo
tuombeane uzima nipo nimekaa pale
 
Back
Top Bottom