Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Tunatakiwa kujua kilamtu kina muda wake ndoa,kazi ,watoto pia hata mafanikio pia Iko hivoDunia ina mengi na vita kubwa ipo kwenu KE. Mna vita kubwa Ukiachana na haya mashindano ya sijui flani kaolewa flani bila bila.... Kuna vita nyingi.
Maza Huwa ananiambia mengi sana.