selemangrace346
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 463
- 634
Ukweli mchungu....watuuwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure mkuu Kuna binti nikiwa second year namsotea yupo f3. Anamaliza six ananiletea mapicha sema hakuwa na uzoefu na masuala haya. Muda huo Niko tayari kuwa na mke nikaachana naye Ila ana Tabia njema mpaka kesho. Nilimkubali kwa Tabia take kwa kweli,sexy Ni kawaida sema alikuwa na uweusi fulani amaizing Kama ule ww chocolate ama wa kisomali fulani iviMsichana aliyeumbika na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.
Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.
Nataka kusema nn? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.
Nimemaliza!
Angalia wanawake ambao ni wafuasi wa Mwammposa na Kakobe, wote sura ni za baba zao.Kama we ni mwanamke na huna sura nzuri au shepu nzuri basi afadhali hata uwe mtu wa Mungu kwelikweli
Hamieni ulaya Ila kauli Ina ukweli,huyu angekuwa ulaya angefungwa kuwa udharirishaji wa kijinsia. Hata hukuKuwa mwanamke Africa ni kazi sana, kila baya lazima utupiwe wewe tu.
Apostle there is a miracle.What happened??
Msichana aliyeumbika na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.
Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.
Nataka kusema nn? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.
Nimemaliza!
I'm not here to argue, btn swahili and English which is best language?Siyo kwamba ukiandika hoja kwa kiingilishi ndiyo inakuwa bora sana. Ulichokiandika hakina mantiki yoyote.
Kwamba wewe mtaani kwako huyaoni niliyo yaandika?
Binti anafika kwenye maximam uzuri akiwa na 22 na katika age hiyo wajuba kibao wanammezea mate na yeye kwakuwa beki hazikabi anaacha mlango wazi wageni wanagonga sana ,sasa wageni wakigonga sana title yake inabadilika na anakuwa malaya then hakuna mwanamme anayeoa malaya hence wanaokuja watakuwa hit and run akija kustuka 30s hii no ndoa.
Sio wote ila 87% ni kweliAngalia wanawake ambao ni wafuasi wa Mwammposa na Kakobe, wote sura ni za baba zao.
Jiandaye kuachika ama kuletewa mchepuko mbele yakoSisi tulioolewa sura za baba na nyuma flat screen unatuambiaje??? 😆 😆 😆 😆
Shida ni elimu ya dunia watoto kazi yao kumsikiliza Gigy money unategemea nn
Acha kutisha watu wewe mdada/mkaka...mbona unafanya maisha kuwa complicated sana..unaishi dunia ya wapi? By the way niliuliza tuu nikusikie...watu wameolewa na ni wazuriii still waume zao wanachepuka.Jiandaye kuachika ama kuletewa mchepuko mbele yako
Unaona madhara ya kutoa maoni kwa lugha isiyo yako?I'm here cause you talk about people that have a specific gender, age, tribes, body structure, colour and status?
Wengi tu wameolewa labda kama wanadanganya😀 Kuna mwanamke single? sijawah onaUnatafuta ugomvi na wanawake wa Jf hapa wote humu hawajaolewa
Hakuna mwanamke wa JF ambaye kaolewa. Wote ni malaya wa mjini.Wengi tu wameolewa labda kama wanadanganya😀 Kuna mwanamke single? sijawah ona
I have been said that "You talk about people? That people have specific......age......gender and so on?" Ni vyema unge mention specification and a bit of supportive data.Unaona madhara ya kutoa maoni kwa lugha isiyo yako?
Kwenye uzi wangu kuna sentensi ama neno lolote nimeandika kuhusu kabila, rangi na hadhi ya mtu??
Ndugu yangu wee andika kiswahili tu.