Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Umejuaje? narudia nawafaham baadhi ya wanawake humu walioolewa wewe unabisha 😯Hakuna mwanamke wa JF ambaye kaolewa. Wote ni malaya wa mjini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje? narudia nawafaham baadhi ya wanawake humu walioolewa wewe unabisha 😯Hakuna mwanamke wa JF ambaye kaolewa. Wote ni malaya wa mjini.
Humu jf kila mtu Yuko singleWengi tu wameolewa labda kama wanadanganya😀 Kuna mwanamke single? sijawah ona
Upo sahihi mkuuUnaweza kunishambulia kwa maneno makali lkn huo ndiyo ukweli. Msichana mzuri na mwenye tabia njema hafikishi 25 bila kuolewa. Atalazimishws na pressure ya waoaji kwa gharama yoyote ile
Nay wa mitego😂Mkuu wimbo wa nan huo nimeupenda
Muonekano mzuri ambao wanaume 10 wakimuona 7/8 watasema Ni mzuri...Uzuri na Tabia, mna zi define vipi ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mwehu nini!
🤣🤣🤣Mshale umemwingia kumoyo bidada uvumilivu 0 JF🙌This made my night wallah! 😂😂
Vipi kuhusu 'bahati' ? Yaani kutokuwa na bahati ya kuolewa. Hii haipo?Kwa jamii za kiafrica, nakuunga mkono mia mia, ukiona mdada above 30 hajaolewa ujue anachangamoto hasa tabia, ila kwa wenzetu wa magharibi wao ndoa si kipaumbele regardless ya uzuri wa shepu, sura ama tabia.
Kuna raia ztapinga😄😄Daah mi ni mwanaume ila huu ndo ukweli mchungu 😂😂😂
Mhh 👀👀Msichana aliyeumbika na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.
Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.
Nataka kusema nn? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.
Nimemaliza!
Hey give me a breakMsichana aliyeumbika na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.
Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.
Nataka kusema nn? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.
Nimemaliza!
Ushauri murua✊🔥Mi sijamsema mtu I'm talking from experience
Madam hao wanawake above 25 sio wa kuweka ndani ni wa kusuuzia rungu na kusepa
Na hii kitu naona kwa watu wanaonizunguka sanasana
Hivyo si sengenyi huo ndo ukweli ulio mkuu
Na ubaya najua unauma sana ila ndo hivyo we kubali tu
Kama we ni mwanamke na huna sura nzuri au shepu nzuri basi afadhali hata uwe mtu wa Mungu kwelikweli
Mungu ndo anaeweza kukuokoa kwenye hili janga la kutokuolewa acha niishie hapo 😬😬😬
Hii ni kweliTATIZO siku izi hamna SUBMISSIVE WOMAN ANAWEZA AKAWA NA ELA NA WEWE PIA UNA ELA ,ILA MWISHO WA SIKU WHAT IS SHE BRINGING TO THE TABLE!!!?IS SHE CARING FOR YOU,IS SHE COOKING FOOD FOR YOU ,IS SHE RESPONSIBLE FOR MAKING SURE EVERYTHING IS GOING WELL IN THE HOUSE EVEN IF SHE IS BUSY AT LEAST ONCE A WEEK IF YOU KNOW WHAT I MEAN ....SIKU IZI WANAWAKE WA IVYO NI WACHACHE SANA MWANAMKE NI SUPERVISOR WA FAMILIA ILA MWANAUME NDIO KIONGOZI SASA SUPERVISOR AKIZINGUA INAKUWA SHIDA
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kuna mwamba hapo juu kakupinga kwa uchungu sana ...bila shaka atakua na madada wengi sana wanazagaa zagaa tu nyumbambani au ana mabinti debe Saba na visado vitatu wanaranda randa ru nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu
Hii ni kweli
Na haya yote yamemkuta ndugu yangu acha awe singo maza ili akomae vizuri kisa kimshahara chake cha 6m ndo ajikute kidume kwenye nyumba ya mwanaume bladfakeni tu 😬😬😬
Nasemaje watapata tabu sana
Tabia😊Sisi tulioolewa sura za baba na nyuma flat screen unatuambiaje??? 😆 😆 😆 😆
Pick ya uzuri wa binti huwa inafika kikomo umri gani mkuu King Kong III ? Ina onesha mwanamke akifika 30 bila ndoa, automatically chance ya kuolewa inapungua.Binti anafika kwenye maximam uzuri akiwa na 22 na katika age hiyo wajuba kibao wanammezea mate na yeye kwakuwa beki hazikabi anaacha mlango wazi wageni wanagonga sana ,sasa wageni wakigonga sana title yake inabadilika na anakuwa malaya then hakuna mwanamme anayeoa malaya hence wanaokuja watakuwa hit and run akija kustuka 30s hii no ndoa.