Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Miaka 30 kwa mwanamke uzazi unakuwa ni shida. Unakuta mdada kishatoa mimba 12 ktk umri huo. Na pia bado miaka 10 tu afike menopause.
Huko kwenu wadada wanafika menopause wakiwa 40?

Kiuhalisia mtu akioa/akiolewa na umri mdogo anaichoka ndoa mapema sana. Unadhani aliyeolewa akiwa 18 hadi akifika 35 anakuwa na hali gani?

Tumeoa wadada wana 29 na wametuzalia bila matatizo, tusiwape dad's zetu stress za kuolewa wakiwa wadogo, wakati wao ukifika wataolewa, hata wakiwa 40.
 
Wewe kwa Umri wako hao wa Range hyo hawakufai maana inaweza wakawa wanafanana na wanao..
Pia, nachojua hatuoi wanawake ili watupe kitu kitu, wanawake siku zote ni wakupewavtu
Umenielewa nilichomwambia mdau au hukunielewa.Ni kua asiwasimange wanawake wa kuanzia 30+.Umri wowote mwanamke anaolewa aache kukariri.
 
Hata miaka 50,mwanamke anaolewa tu.
 
Mwaka wa kumi kwenye ndoaaa niliolewaa na 23 watu watuliee kidogooo kuwahi Sana Kuna changamotoo zakeeee
 
I think inategemea na familia ya uyo binti na akili za wazazi wake pia😂😂
Sijakuelewa, kwamba kuna wazazi hawapendi mabinti zao waolewe ?! Fahari ya wazazi ni binti yao kuolewa na kutokua nungaiyembe. Miaka 26 plus Nungaiyembe mpaka 30 plus ati kuna wazazi hawataki binti yao aolewe ?!!

Miaka 30 plus baba hataki binti aolewe ?! Ebo. Basi baba na binti watakua wanatombana hao. Wewe vipi mkuu una miaka 29 plus mzuri wa sura na tabia na haujaolewa na wazazi wako "hawataki" uolewe ?
 
Siyo kweli mbona wangu nimemuowa akiwa na 30+ na bado alikuwa bikra.
We jamaa umekunywa nini ?! Bikra ni uzuri wa sura na tabia ?! Na libikra lake ni ushahidi mkeo ni bonge la polygon sura ya mbuzi. Binti gani mzuri anafikisha 17 hajatobolewa ?!! HAIJALISHI MAADILI HATA AWE MTOTO WA ASKOFU wanaume watatumia kila mbinu na ushawishiwi wa level ya Phd atajikuta kaliwa, men are very smart. Hakuna binti mzuri wa sura atafika 17 hajaliwa.
 

Fala kweli, kama yupo bado anaongeza Elimu?
 

Kaibiwa huyo, bikra ni nini
 
25 unaolewa unakimbiliaa ndoaa ya nn wkt ujana ujaumalizaa ujatoa hata mimbaa 3 ndoaa itakushnda ,,angalau 29 nakuendelea ndio uwaze kuolewaa..

NA C LAZIMA KUOLEWA AU KUOAA..

KATAAA NDOAAAAAA...
Sisi tulioolewa na 23 inakuaje aisee🙄🙄
 
Fala kweli, kama yupo bado anaongeza Elimu?
Msichana mzuri huwa anatolewa posa anapomaliza tu kidato cha sita. Anaingia chuo akiwa mke wa mtu. Waremo wote wenye tabia nzuri huwa wanasoma elimu ya juu wakiwa na wachumba ama waume .

By the way miaka hii first degree ni miaka 21, second degree kama anaunganisha ni miaka 24. Upo hapo??

Narudia kukazia tena. Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…