VIJANA TUNAWEKA AKILINI SANA MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA KITANDANI TU ILA TUKUMBUKE MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA NJE YA KITANDA NI MAKUBWA NA YANAHITAJI MUDA MREFU ZAIDI KULIKO YA KITANDANI SABABU DAIMA TENDO LA NDOA LINA ATHARI ZA DAIMA KWENU NA KWA WATOTO WENU.
"Natamani nikipata mtoto awe nimemuandalia maandalizi bora sana.
Nitamchagulia mama/baba bora sana anaemjua Mungu na anaetimiza wajibu wake.
Watalala vyema na chakula kizuri sana.
Nitamsomesha shule nzuri na nitahakikisha hatopitia maisha niliopitia mimi bila ya kuwa namahitaji muhimu wakati wa ukuaji wangu".
Hii ni ndoto ya kila kijana anapopanga mbele ya maisha yake.
Maisha ni siri anaeijua Muumbaji tu na sisi ni wazuri wa kupanga ila yeye ndo mpangaji bora.
Nilitembelea mkoa mmoja hapa Tanzania nikiwa katika harakati za kazi kuna jambo liliniumiza na ni hamu ya moyo wangu kuona linapungua au kutoweka kabisa.
Nilikutana na watoto wengi wenye mazingira duni, ama wenye tabia za kero mtaani, ni watoto ambao utasikia mama na mama hawapo mkoani. wapo jijini wanatafuta maisha na huko wanafamilia nyengine na watoto wengine wanaopata matunzo yote na wanafaidi uwepo wa wazazi wawili.
Hawa watoto wanaolelewa na ndugu hawapati mahitaji muhimu kwa wakati, hakuna anaefuatilia maendeleo yao shuleni wala hakuna hakuna anaefuatilia kwa karibu malezi yake na cha umuhimu zaidi wanakosa mapenzi ya wazazi na ni kitu kikubwa kuliko chochote ni uwepo wa wazazi.
Hawa watoto asilimia kubwa huishia kwenye umaskini au kuwa na tabia ambazo sio nzuri mitaani.
Na hili ni moja ya mambo yanayaongeza umaskini mkubwa sana kwenye jamii.
Hawa watoto wakikua na kufanikiwa huna na chuki mioyoni mwao kwa wazazi wao na uhusiano unaoregarega.
KITU MUHIMU ZAIDI
Ni uwepo wako kwake na uhusiano wa karibu.
Hawahitaji pesa zako za matumizi za kila miezi 6 na simu za kila christmas.
Hawa watoto wana machozi na hawana kosa.
Ukitaka kufanya mapenzi bila ya kinga mtazame usoni unaetaka kufanya nae na jiulize
Je, upo tayari huyo kuwa na uhusiano nae wa daima?
Je, upo tayari awe mama/ baba wa watoto wako.?
Vijana ambao hawajapata watoto bado nawaomba wajizibiti wakitaka kuwa na mtoto wahakikishe ni muda muafaka.
Mama akibeba mimba hakuna mimba ya bahati mbaya lazima uwe tayari kuilea na kutunza mtoto na jitahidi upate na mtu sahihi kwa wakati huo.
Je, ile ndoto ya malezi bora kwa mtoto anaeweza kuja umeshayapata?
Je, huyo mtoto utakuwa nae karibu au dar na songea.?
Kila tendo la ndoa lina matokeo mawili tu, kutengeneza kiumbe au la.
Tendo la ndoa linahitaji maandalizi mengi sio ya kitandani tu, lina maandalizi ya nje ya kitanda na ya kitandani.

Upvote
1