Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Unakuta mtu basi tu ni tako ndio limemuokoa kutoka bunyokwa ndani ndani huko sasa ana enjoy pesa za wanaume, ameshajisahau kabisa, hata akiona mtu anakula mlenda anajisikia kutapika sasa hiviš wakti ndio ilikuwaga menu yao
Eti demu anamuambia mshikaji mmoja hivi inakuwaje mbwa unampa makombwe ya ugali,š, demu anaesema hivyo miaka minne iliyopita walikuwa wakikusanya mauchafu mboga mboga ya sokoni kupelekea mifugoš
Eti demu anamuambia mshikaji mmoja hivi inakuwaje mbwa unampa makombwe ya ugali,š, demu anaesema hivyo miaka minne iliyopita walikuwa wakikusanya mauchafu mboga mboga ya sokoni kupelekea mifugoš