Basi huyo binti atakuwa ni mzuri sana!Ni kweli kuna mmoja namuona hapa anajiona kama malkia. Mama ake anamnyenyekea bint na kumuogopa kwa kua na yeye anapata mgao wa hayo Mapato akihongwa.
Ni mzuri , ila sasa ndio mzazi umnyenyekee mwanao na akutreat kama wewe ndio mtoto kisa mzuri au ana pesa.Basi huyo binti atakuwa ni mzuri sana!
Wa kutetemekewa na kila mtu mpaka wazazi!