livingroom_espionage
Member
- Jul 8, 2026
- 37
- 77
We mwenyewe umeelewa ulichoandika?Yaani, ukiwa pale mashati bar njia panda ya mbweni huwezi kuamini macho yako.
Dah! One man down, tena leo jumatatu mchana sijui ndio amekuja kula lunch alafu akamalizie pale DM Lounge.
Nawasilisha
Rudi kule FB ukawaandikie tenaDah! One man down, tena leo jumatatu mchana sijui ndio amekuja kula lunch alafu akamalizie pale DM Lounge.
Hizo ni code mtu kapewa tena wa hapa hapa JFSijaelewa
Yaani wewe ni expert member bado hujaelewa iyo codeSijaelewa kitu chochote hapo ulikua unamtumia nani hii meseji ukakosea kutuma huku?
Yaani, ukiwa pale mashati bar njia panda ya mbweni huwezi kuamini macho yako.
Dah! One man down, tena leo jumatatu mchana sijui ndio amekuja kula lunch alafu akamalizie pale DM Lounge.
Nawasilisha
Tuna miaka mingi sana humu, Tena ni wa kongwe kweli kweli, wewe unajua hata story ya msoga na UK.MEMKWA mmeanza kuliteka jukwaa
Duuh nakupa code tulia! Wait part 2Rudi kule FB ukawaandikie tena
bado hujaelewa huu uziKeupe kazini
Tusamehe mkuu😀Mnalilia code mnapewa mnaanza kuita watu MEMKWA .