cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Yess navaa, hadi cheni ya kiuoni, si niko ndani na Ba tamu wangu, lazima nimpe kitu roho yake inataka.Iv coca nawew hua unavaa ukiwa kwamchiz wako ili kumspoil
😂😂😂
Yess navaa, hadi cheni ya kiuoni, si niko ndani na Ba tamu wangu, lazima nimpe kitu roho yake inataka.Iv coca nawew hua unavaa ukiwa kwamchiz wako ili kumspoil
😂😂😂 unajua siamini, sijawahi kuona, ila kuvaa vipens na tishet, au slippers,Kawatetea inabidi uvue sidiria😁,
Wakivaa Madera ushaona?😂😂😂 unajua siamini, sijawahi kuona, ila kuvaa vipens na tishet, au slippers,
Ila sidiria? Tena mchana? Labda mie sio mtu wa kuzunguka hayo maeneo, ndio maana sikutana nao..
😂😂😂
Nataman kijua kama pia nahuko kuna kifinyiwa kwandani😋Yess navaa, hadi cheni ya kiuoni, si niko ndani na Ba tamu wangu, lazima nimpe kitu roho yake inataka.
😂😂😂
Kuna clip niliona walikua wamevaa sare za vijora wanasasambua, 😂😂😂 ila ilikua usiku ukumbini, sikushangaa sana.Wakivaa Madera ushaona?
Au sketi😁,unapishana utakachogundua ni mwendo na sura,kama usiku huwezi mgundua,,,,znz Kuna mmoja anajivisha Hadi skuna mlongo🙌
Kwani kusiwe na kufinyia kwa ndani? Unaijua top up wewe? 😂😂😂Nataman kijua kama pia nahuko kuna kifinyiwa kwandani😋
Wanajiamulia mambo😁Kuna clip niliona walikua wamevaa sare za vijora wanasasambua, 😂😂😂 ila ilikua usiku ukumbini, sikushangaa sana.
Ila hii ya mchana kweupe, ndio napata mshangao, sasa wanavyofanya hivyo ili iwe nini? Wanajiuza au? Ndio maana wanapigwaga na watu, kisa hivyo kumbe. Khaah
😂😂😂
😂😂😂 khaaah, hivi wanapishana safi tu na wanaume huko barabarani? Hawajistukiii? 😂😂😂Wanajiamulia mambo😁
Mna hatar nyie ....NB: LINDA MGONGOKwani kusiwe na kufinyia kwa ndani? Unaijua top up wewe? 😂😂😂
Utaacha ndala alooooh.
Chief mbona unapiga mikwala wakati ume-join juzi tu hapa. BTW code yako nimeipata. Wanaume tumebaki wachache.Tuna miaka mingi sana humu, Tena ni wa kongwe kweli kweli, wewe unajua hata story ya msoga na UK.
Wanavyojiamini😁, jichanganye wakuchambe🙌😂😂😂 khaaah, hivi wanapishana safi tu na wanaume huko barabarani? Hawajistukiii? 😂😂😂