Hakuna mtu aliyetenda dhambi kubwa duniani kama aliuegundua kuweka sponji kwenye sidiria.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unajua siamini, sijawahi kuona, ila kuvaa vipens na tishet, au slippers,
Ila sidiria? Tena mchana? Labda mie sio mtu wa kuzunguka hayo maeneo, ndio maana sikutana nao..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wakivaa Madera ushaona?

Au sketi😁,unapishana utakachogundua ni mwendo na sura,kama usiku huwezi mgundua,,,,znz Kuna mmoja anajivisha Hadi skuna mlongoπŸ™Œ
 
Wakivaa Madera ushaona?

Au sketi😁,unapishana utakachogundua ni mwendo na sura,kama usiku huwezi mgundua,,,,znz Kuna mmoja anajivisha Hadi skuna mlongoπŸ™Œ
Kuna clip niliona walikua wamevaa sare za vijora wanasasambua, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila ilikua usiku ukumbini, sikushangaa sana.

Ila hii ya mchana kweupe, ndio napata mshangao, sasa wanavyofanya hivyo ili iwe nini? Wanajiuza au? Ndio maana wanapigwaga na watu, kisa hivyo kumbe. Khaah
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanajiamulia mambo😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…