Hakuna mtu anaongea neno kwa bahati mbaya

Siyo kila neno linaonyesha moyo wa mtu. Watu husema kwa hasira, mzaha, msongo au makosa. Kama maneno yangekuwa kipimo kamili cha tabia, basi hakuna ambaye angekuwa mwema kwa sababu kila mtu amewahi kusema jambo baya. Tabia ya mtu hupimwa zaidi na mwenendo wake wa muda mrefu kuliko sentensi moja au mbili.
 
Hapo kwenye hasira ndiyo ukweli mtupu ulipo kijana
 
Unabishana na Yesu 😃 mimi nimeandika nukuu ya Yesu
 
kweli. Mtu anakwambia ntakuchoma kisu,panga au ntakupiga risasi halafu wewe unadhani anatania unamchekea sinaga ujinga huo mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…