Hakuna mtu anaongea neno kwa bahati mbaya

Hakuna mtu anaongea neno kwa bahati mbaya

Maneno huwa hayamtoki mtu bure ujue ni sehemu ya mawazo yake na moyo wake ulivyo. Ndioomaana ukisikia lugha za hatari kutoka kwa mtu chukua tahadhari naye mapema , mtu anapimwa kwa matendo na maneno yake.

"KINYWA CHA MTU KINANENA YALE YA UJAZAYO MOYO WAKE " YESU
Ingawa wakati mwingine watu wanaweza kusema jambo kwa hasira au utani, ni muhimu kuyazingatia maneno yao kwa sababu mara nyingi hutoa picha ya kile kilichomo moyoni. Ndiyo maana busara hutufundisha kuwatambua watu si kwa matendo yao pekee, bali pia kwa lugha wanayoitumia mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom