Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
-
- #41
Tatizo la afya ya akili. Wewe ni chiziUmekuja kidog staili namimi naichapa hivyo hivyo , nani dada yako mshamba mmoja wewe
Wala sina hasira , nipo kawaida tu .Sikuhizi una hasira min!
πTatizo la afya ya akili. Wewe ni chizi
Tulia bas,msamehe 7*70Hili kiazi linaniita dada yake kisa kuwa tofauti na mada yake
Nikikukamata nakufunga kamba nakutupa milembe , wewe ni chizi unayemiliki Smartphoneπ
Nawe,unaharibu thread yako bhana,pleaseNikikukamata nakufunga kamba nakutupa milembe , wewe ni chizi unayemiliki Smartphone
Jinsi anakuvyokuja ndivyo nitampokeaTulia bas,msamehe 7*70
Asinisamehe league yangu haiwezi huyo kwangu dagaa mcheleTulia bas,msamehe 7*70
πNikikukamata nakufunga kamba nakutupa milembe , wewe ni chizi unayemiliki Smartphone
Haya sawaAsinisamehe league yangu haiwezi huyo kwangu dagaa mchele
Umezoea michezo ya kufyokonyolewa anus eehhπ
Huyo Awashwa mpotezeeHaya sawa
πUmezoea michezo ya kufyokonyolewa anus eehh
Hhhh pole sana mimi sipendi michezo hio tafuta watakao kufyokonyoa ushindwe ktk jina la Yesuπ
πHhhh pole sana mimi sipendi michezo hio tafuta watakao kufyokonyoa ushindwe ktk jina la Yesu
Usirudie tena mimi sio league yako wewe , mimi ni maktaba ya hoja nina punch kama zote ndioomaana unacheza na emoj halafu mrudie muumba wako uache michezo ya kufyokonyolewaπ
πUsirudie tena mimi sio league yako wewe , mimi ni maktaba ya hoja nina punch kama zote ndioomaana unacheza na emoj halafu mrudie muumba wako uache michezo ya kufyokonyolewa
YeahHili ndilo Jibu
HakikaUungwana ni vitendo sio maneno
Ingawa wakati mwingine watu wanaweza kusema jambo kwa hasira au utani, ni muhimu kuyazingatia maneno yao kwa sababu mara nyingi hutoa picha ya kile kilichomo moyoni. Ndiyo maana busara hutufundisha kuwatambua watu si kwa matendo yao pekee, bali pia kwa lugha wanayoitumia mara kwa mara.Maneno huwa hayamtoki mtu bure ujue ni sehemu ya mawazo yake na moyo wake ulivyo. Ndioomaana ukisikia lugha za hatari kutoka kwa mtu chukua tahadhari naye mapema , mtu anapimwa kwa matendo na maneno yake.
"KINYWA CHA MTU KINANENA YALE YA UJAZAYO MOYO WAKE " YESU