Hakuna mtu anaongea neno kwa bahati mbaya

Mfano mzuri ni mtoa mada , kaonyesha kwa vitendo baada ya mimi kwenda tofauti na mada yake , kwa ushahidi soma komenti zake za juu👆
 
uzi ufungwe
 
Kaka sio tabia!! Yan mtu akikutamkia neno kwa hasira au kalewa au kwa furaha basi jua hilo neno limetoka kwenye moyo wake yan kwamna hilo neno analo kila siku
 
Kaka sio tabia!! Yan mtu akikutamkia neno kwa hasira au kalewa au kwa furaha basi jua hilo neno limetoka kwenye moyo wake yan kwamna hilo neno analo kila siku
Kama kila neno la hasira au ulevi lingeonyesha moyo wa mtu moja kwa moja, basi tungeamini pia kila neno la mzaha, ndoto au wazimu ni ukweli. Ukweli ni kwamba hisia zinaweza kupotosha maneno, ndiyo maana mtu uhukumiwa kwa mwenendo wake wa muda mrefu, si kwa sentensi moja aliyotoa akiwa hana utulivu.
 
Sio kweli. kwa mfano kwenye mtongozo Kuna maneno mengine Huwa tunaongopa ili tupate kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…