Kwahiyo sisi tunaokaa huku kwa mtogole itakuwaje sasamaisha ya uswazi yanachangamoto sana hasa kufatiliana, hii kero ndo ilinifanya niishi mitaa ya kishua japo kipato changu ni cha kati, aise mitaa ya ushuani ina raha sana mda wote upo huru na maisha yako, huku hakuna majungu yakifala kama uswaz.
Mkuu kabla hata hujaambiwa nadhani picha halisi ya maisha ya uswaz unaijua, yani nikunafuatiliwa A-ZKwahiyo sisi tunaokaa huku kwa mtogole itakuwaje sasa
Mbona umeukimbia uzi wa mwanao ?[emoji23]Karibu siku moja
Unakwepa aibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulitaka nifunge hema pale?
Hata town planners watoa viwanja vya low density na high density. Huku Uswazi tunaambukizana kila kitu hadi umbea.Naturally Kuna watu wanapenda kukaa uswazi, Mwamnyange aliyekuwa msemaji was polisi alikataa kukaa Oyster Bay ushuani, sio kituo cha polisi akataka akae Buruguni, eti uzunguni atakuwa mpweke.
Baba yake anafanya kazi gani?Yote maisha ila shukran mja