Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Najua hilo mwaya [emoji16]IST na Vitz ndiyo gari zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua hilo mwaya [emoji16]IST na Vitz ndiyo gari zetu
Sky Eclat kama unaweza kuwaepusha watoto wako na maisha ya uswahilini, please fanya hivyo ndugu yangu.Uswahilini mnakokukimbia ni wapi? Inawezekekana mnakimbia kushirikiana jiko, choo na bafu kwanye nyumba ya kupanga lakini hata Manzese, Mbagala, Mwananyamala kwa Kopa Kinondoni Shamba kuna nyumba self contained na gate kabisa mlangoni, ukiingia na gari yako hakuna mtu anaejua maisha yako.
Nifundisheni huu uzungu unaofanya mkimbie Uswahilini. Huko Uzunguni kuna nini cha ziada? Au oxygen wanauovuta ni tofauti na hii ya kwetu?
Uzungu na Uswahili unaubeba mwenyewe na jifunze jinsi ya kuishi na watu wanaokuzunguka