Mbona mie nazika pesa mwenye mbunye....wapo wanapata halali na wanatumia hapo bar...ndio starehe yaoHakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
100K bado hujatupa mkuuMtoa mada kama siyo kobazi basi. Kwa siku mtu anaingiza 1.5m anaenda bar kutumia 100k, huyo siyo mwenzio
Nazitafuta mkuu ntaleta mrejesho, nkizipatawivu utakuua mwanetu, nawewe kuwa nazo uone kama utapata muda wa kuandika huu uchuro wako. Pesa ni Pesa
Bar zinaenda perdiem 😹Haha kwa hio walimu/Drs/eng/ wanaolipwa kisha kwenda bar nao wanafanya kaz haramu?
Uhakikakimbia nazo familia hakuna kukata tamaa
Tafuta hela mkuu.Moja, mbili, tatu chafua meza. Bar haijawahi kumuacha mtu salama
Shida sio kutumia shida ni kutupaKwahiyo mtu anatumia Hela yake unaita wazimu.
Au wewe ndiye wazimu.
Binafsi sinywi pombe ila na mimi Kuna sehemu baada ya kazi pesa zangu nazitumia.
Acha watu watumie pesa zao mkuu
Starehe na umaskini ni vitu viwili sambambaMbona mie nazika pesa mwenye mbunye....wapo wanapata halali na wanatumia hapo bar...ndio starehe yao
Naunga mkono 🤝Bar zinaenda perdiem 😹
Ntu akijipata hakunaga standardWashkaji kibao wanabeba zege na jioni wanaenda kutumia Bar.
Kwahiyo usiseme hakuna
Kuna matajiri kibao wanafanya starehe kuzidi makapuku walio wengi.Starehe na umaskini ni vitu viwili sambamba
Kusema haina mashiko ni rahisi, nionyeshe mashiko ya hoja yako mbadala ikoje.Hoja yako haina mashiko
Maskini ndo wanaongoza kwa kuendekeza stareheKuna matajiri kibao wanafanya starehe kuzidi makapuku walio wengi.
Tafuta hela mkuu.
Pombe na chakula havijawahi kumaliza hela, hao wanaochafua meza bar ni masikini.
Soda anasaNimeamini ukiwa huna hela kila starehe utaiona ni dhambi
Utafanya starehe bila pesa? Kama wanafanya starehe siyo masikiniMaskini ndo wanaongoza kwa kuendekeza starehe
Starehe haifilisiPombe ni sehemu ya starehe
Na na ni kweli wanatia huruma sana wakistaafuHao wana wazimu, watakuja kutia huruma uzeeni