kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Narudia tena, Mimi na mpinga LISU, nantamchagua MAGUFULI, zile sababu zangu tano tu! ,Zinatosha Sana kumpinga LISU 100%.Baada ya juzi Tundu Lissu kuibua sakata la wamachinga kuuziwa vitambulisho na kulaani kitendo hicho, Jana Rais Magufuli amelitolea ufafanuzi na kusema kuwa sio kweli na kutoa maagizo kwa wakuu wa wilaya nchi nzima kuwa ni marufuku wamachinga kuuziwa vitambulisho hivyo, Magufuli amesema kuwa hilo suala ni hiari na sio lazima.
Wakuuu, hiii ndio maaana watanzania wanampenda Lissu, hakuna mtu anaeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo.
Hivi Kama watu wameteswa na kuumizwa Juu ya hili kwa kipindi chote cha miaka minne iweje Leo aje Lissu ndio itolewe amri? Ina maana Lissu angekuwepo Tanzania suala hili kumbe halingesumbua wamachinga, sasa wale wanaompinga Lissu wanatoa wapi nguvu ya kumpinga Lissu?
Lissu anapingwa na watu wenye utindio wa ubongo Kama wwNarudia tena, Mimi na mpinga LISU, nantamchagua MAGUFULI, zile sababu zangu tano tu! ,Zinatosha Sana kumpinga LISU 100%.
Nasubiri tarehe tu si kadi niyakwangu?Na moyo wakwangu?! Tuombe uhai kwa Mwenyezi Mung u.
Ahsante, Kumbuka kichinjio ninacho .Lissu anapingwa na watu wenye utindio wa ubongo Kama ww
Umbea kwa mwanaume si ishara mzuriLissu akiwa Rais, watanzania wote tumepigwa.
Chinja asiyeleta kuletea maedeleoAhsante, Kumbuka kichinjio ninacho .
Hata mm ninacho, mke wng na mwanangu pia ..sisi wote kura Ni kwa LissuAhsante, Kumbuka kichinjio ninacho .
Vunja kufuri Kisha mwaga pombe October 28Chinja asiyeleta kuletea maedeleo
Wajumbe wa ccm watamchinja mekoIla mjue wajumbe ni wengi sana
[SUP] daah , mhurumieni LISU, Bado hajapona vizuri, siunamwona anaanguka kwenye kampeni. Mwambieni mapemaa apumzike tatizo lisiongezeke[/SUP]Tundu lissu wapeleke , mchaka mchaka ..wapeleke kikamanda ,mchaka mchaka..,2020 wapeleke kikamanda mchaka mchaka.. freedom is coming ...huu wimbo unawapeleka ccm mchaka mchaka hadi wanampigia cm Msanii wetu wa chadema Kamanda George Mwingira kuwa aubadilishe aweke jina la magufuri Kisha apewe hela milion 30 na kupewa TOT band kuwa kiongozi ..hv ccm si mna wasanii 200? Bado tu hamtosheki na akina Hamonaiz nyimbo zao za Uno?? Tuachieni mtu wetu bhana ... chakubanga pole pole achana na Mwingira bhana
Wewe sio woteLissu akiwa Rais, watanzania wote tumepigwa.
Mm n mume wa mtu sitak kuongeza mke, kaa mbaliUmbea kwa mwanaume si ishara mzuri
Sote tuna kadi mkuu.Narudia tena, Mimi na mpinga LISU, nantamchagua MAGUFULI, zile sababu zangu tano tu! ,Zinatosha Sana kumpinga LISU 100%.
Nasubiri tarehe tu si kadi niyakwangu?Na moyo wakwangu?! Tuombe uhai kwa Mwenyezi Mung u.
Mkuu una mtoto mwenye umri wa kupiga kura?,Duh! Shikamoo.Hata mm ninacho, mke wng na mwanangu pia ..sisi wote kura Ni kwa Lissu