Hakuna mtu mwenye kujitambua na mwenye Akili Timamu anayeweza kuishabikia au kuiunga mkono CHADEMA kwa Sasa

Hata Uhuru ulionao wa kuandika na kutukana hapa Ni matokeo ya kazi njema ya CCM ya kusitawisha demokrasia na Uhuru hapa nchini
uhuru nilionao is granted by God. Na ccm ikitoka madarakani ndiyo uhuru utaimarika zaidi. Hata wewe mjingamjinga utakuwa na uhuru wa kifikra kuliko sasa fikra zako zimekaa kitumwa
 
Maskini !! Hivi wewe una umri gani samahani!
Unafuatilia jinsi wanavyojichanganya lakini?
Hivi unajua tumekopa mkopo wa kibiashara kujenga miradi na mashule?
tozo+mikopo= Yu tong za mwigulu +umaskini wa watz+umbumbu kama wewe
 
Hayo magari uliyaleta wewe hapa nchini, ulikuwa dalali katika ununuaji wake? Unao ushahidi wa kinyaraka? Unaweza tuwekea hapa huo ushahidi? Unaweza thibitisha madai yakuonyesha mh kaleta gari hizo? Unaweza onyesha Tarehe muda na siku ya kuongozwa kwake nchini? Acha kuwa mzushi kwa vitu usivyo na ushahidi navyo na ambavyo huwezi vitolea ushahidi
 
uhuru nilionao is granted by God. Na ccm ikitoka madarakani ndiyo uhuru utaimarika zaidi. Hata wewe mjingamjinga utakuwa na uhuru wa kifikra kuliko sasa fikra zako zimekaa kitumwa
Hakuna chama Cha kuweza kuitikisa Wala kuiondoa CCM madarakani hapa nchini, vyama vilivyopo Ni Kama vyama SHIKIZI tu
 
Ushahidi siyo wa kutuma kwa chawa kama wewe!!
Escrow walikataa hadi wakapata ushahidi!
Na hili laja!!
 
Hivi Tanzania bado tuna watu wenye ufahamu finyu namna hii?
 
Acha maneno maneno weka ushahidi wako hapa, huna kaa kimya acha kuchafua majina ya watu hapa
Mbona tayari huyu ni mchafu! Unataka nani amchafue zaidi. Wewe uende kwenye tundu la choo udai unahitaji kulichafua wakati ndani mavi matupu!
Hebu niambie ni nani msafi kwenye CCM
Hivi ni nani alikuwa waziri wa mambo ya ndani wakati Ben saanane anatekwa?
Hivi ni nani alikuwa waziri wa mambo ya ndani wakati Tundu Lissu anapigwa marisasi ya tembo?
 
Hivi Tanzania bado tuna watu wenye ufahamu finyu namna hii?
Hata ukiukwepa ukweli lakini utabaki kuwa ukweli tu kuwa chadema kwa Sasa imepuuzwa na watanzania, Angalia hata habari za kikao Chao na maazimio yao jinsi yalivyo potezewa na watanzania
 
Hata ukiukwepa ukweli lakini utabaki kuwa ukweli tu kuwa chadema kwa Sasa imepuuzwa na watanzania, Angalia hata habari za kikao Chao na maazimio yao jinsi yalivyo potezewa na watanzania
Someni alama za nyakati. I rest my case.
 
Sasa kwanini hamkukaa kujadili hayo mawazo yenu? Sasa kukimbia kwenu kuliwafikisha wapi? Na he saiz hamtakimbia ten? Nani wakuwaamini Tena nyie

Hatukukimbia bali hatukuwa tayari kuwa sehemu sehemu ya wavuruga maoni halali ya wananchi. Sisi hatuhitaji kuaminika na nyie CCM maslahi.
 
Hakuna chama Cha kuweza kuitikisa Wala kuiondoa CCM madarakani hapa nchini, vyama vilivyopo Ni Kama vyama SHIKIZI tu
usihamishe mjadala kutoka kuw ana fikra huru ambazo ccm wameshindwa na kuuhamishia katika kuiondoa ccm. Una mawazo hayo kuwa ccm haiwezi kuondoka kwa sababu wewe bado ni mfungwa wa fikra, hauko huru bado.
 
Hakuna chama Cha kuweza kuitikisa Wala kuiondoa CCM madarakani hapa nchini, vyama vilivyopo Ni Kama vyama SHIKIZI tu
Chama dola kinacho iba chaguzi unafikiri kita ondolewa vipi? Si siri JPM aliongoza majeshi yake kuiba uchaguzi 2019 na 2020.
 
Tehe teheeee hivi ni nani aliyetuita sisi ni wapumbavu na malofa?

Ukimtaja, taja na chama chake ndio utajua chawa na kunguni wote ni wadudu wanyonya damu zetu, tofauti ni majina tu 😂
 
Kwa Sasa Ni chama kilichokosa dira na muelekeo,
CCM ilishakosaga dira tangu enzi za Kolimba, Mzee wa watu mkampoteza - mna dhambi nyingi nyie CCM.

Sasa Tozo wananchi wamewagomea, mnahaha mfanyaje huku sheria mmetunga kwa hati ya dharura - mna dhambi nyingi nyiee.
 
Aliyefanya usanii wa nyongeza za mishara ametoa mtaji kwa wapinzani.
 
Lissu arejee
CCM ilishakosaga dira tangu enzi za Kolimba, Mzee wa watu mkampoteza - mna dhambi nyingi nyie CCM.

Sasa Tozo wananchi wamewagomea, mnahaha mfanyaje huku sheria mmetunga kwa hati ya dharura - mna dhambi nyingi nyiee.
Kasome utafiti wa Twaweza juu ya maoni ya wananchi kuhusiana na suala la Tozo
 
Chama dola kinacho iba chaguzi unafikiri kita ondolewa vipi? Si siri JPM aliongoza majeshi yake kuiba uchaguzi 2019 na 2020.
Wananchi Wana Imani na CCM ndio maana waligoma hata mlipowaambia waandamane
 
Kwa hoja na sera zipi mlizonazo za kuitikisa CCM
usihamishe mjadala kutoka kuw ana fikra huru ambazo ccm wameshindwa na kuuhamishia katika kuiondoa ccm. Una mawazo hayo kuwa ccm haiwezi kuondoka kwa sababu wewe bado ni mfungwa wa fikra, hauko huru bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…