Hakuna mtu mwenye mapenzi na rais Samia kama mimi Ponjoro wa Kinondoni

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Mimi nampenda sana Rais wangu, sidhani kama kuna mtu ananifikia kwa kumpenda. Namshauri afanye mambo haya mawili tutamkumbuka daima.

1. Akubali kufanya reforms kabla ya uchaguzi na ahakikishe ni reforms zitakazofanya tume iwe huru kwelikweli.

2. Asigombee tena maana huku kwa wananchi hatumkubali hata kidogo, wakwanza nisiyemkubali ni mimi hapa Ponjoro wa Kinondoni
 
Hata kutii na kutenda ni kipawa cha Mwenyezi Mungu ambacho sikioni ndani ya XA100.
 
Mimi nampenda sana Rais wangu, sidhani kama kuna mtu ananifikia kwa kumpenda. Namshauri afanye mambo haya mawili tutamkumbuka daima.

1. Akubali kufanya reforms kabla ya uchaguzi na ahakikishe ni reforms zitakazofanya tume iwe huru kwelikweli.

2. Asigombee tena maana huku kwa wananchi hatumkubali hata kidogo, wakwanza nisiyemkubali ni mimi hapa Ponjoro wa Kinondoni
Ila wewe akili zako unazo peke yako kwenye ukoo wenu.
 
Mimi nampenda sana Rais wangu, sidhani kama kuna mtu ananifikia kwa kumpenda. Namshauri afanye mambo haya mawili tutamkumbuka daima.

1. Akubali kufanya reforms kabla ya uchaguzi na ahakikishe ni reforms zitakazofanya tume iwe huru kwelikweli.

2. Asigombee tena maana huku kwa wananchi hatumkubali hata kidogo, wakwanza nisiyemkubali ni mimi hapa Ponjoro wa Kinondoni
Kuliko Mzee Hafidh?
 
bahati yako asee, nilidhani utaongea pumba nikupepete, kumbe mtu wa maana sana
 
Mimi nampenda sana Rais wangu, sidhani kama kuna mtu ananifikia kwa kumpenda. Namshauri afanye mambo haya mawili tutamkumbuka daima.

1. Akubali kufanya reforms kabla ya uchaguzi na ahakikishe ni reforms zitakazofanya tume iwe huru kwelikweli.

2. Asigombee tena maana huku kwa wananchi hatumkubali hata kidogo, wakwanza nisiyemkubali ni mimi hapa Ponjoro wa Kinondoni
Angalia mzee wa kino the crain, sasa we mzalendo ama Msoga camp?
 
Back
Top Bottom