Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Naam😄
Ova
Hii ndio mwarobain wa migogoro yote huko ccm. Akisema tu Twrnde Kwenye Katiba Mpya na Tume huru basi wagomvi woote watakimbia siasa1. Akubali kufanya reforms kabla ya uchaguzi na ahakikishe ni reforms zitakazofanya tume iwe huru kwelikweli
Ila wewe akili zako unazo peke yako kwenye ukoo wenu.Mimi nampenda sana Rais wangu, sidhani kama kuna mtu ananifikia kwa kumpenda. Namshauri afanye mambo haya mawili tutamkumbuka daima.
1. Akubali kufanya reforms kabla ya uchaguzi na ahakikishe ni reforms zitakazofanya tume iwe huru kwelikweli.
2. Asigombee tena maana huku kwa wananchi hatumkubali hata kidogo, wakwanza nisiyemkubali ni mimi hapa Ponjoro wa Kinondoni
Kuliko Mzee Hafidh?Mimi nampenda sana Rais wangu, sidhani kama kuna mtu ananifikia kwa kumpenda. Namshauri afanye mambo haya mawili tutamkumbuka daima.
1. Akubali kufanya reforms kabla ya uchaguzi na ahakikishe ni reforms zitakazofanya tume iwe huru kwelikweli.
2. Asigombee tena maana huku kwa wananchi hatumkubali hata kidogo, wakwanza nisiyemkubali ni mimi hapa Ponjoro wa Kinondoni
Angalia mzee wa kino the crain, sasa we mzalendo ama Msoga camp?Mimi nampenda sana Rais wangu, sidhani kama kuna mtu ananifikia kwa kumpenda. Namshauri afanye mambo haya mawili tutamkumbuka daima.