Hakuna mtu "Single" A.K.A mzab zab

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Watu humu mambooz.

Tusichorane. Hakuna mtu yuko peke yake humu ndani. Ni kwamba mtu anamadai eti yupo peke yake halafu ukichunguza ni kwamba hayupo peke yake wapo wawili.

Ni hali tu ya kuwa hajaridhika na mtu wake anataka aongeze aone kama hiyo nayo ni vepi, sasa mtu wangu siyo poa maisha yanaenda sana.

Na ndiyo maana mnalogwa majogoo hayapandi na wala watu wapati vinyweleo.
 
Mkuu,mbona kama unajiongelesha peke yako?Mimi sijaelewa.
 
Single boy wa kweli kwel nipo hapa nimetulia nakula chapati na bia 😁
 
Mkuu ivi ni kwamba huwa hujui kuandika kiswahili vizuri au na wewe ni darasa la 7 B mwenzangu??

Kama unashindwa kuandika kiswahili fasaha ukaeleweka basi usiwe unaleta nyuzi humu, mara nyingi umekua ukikosolewa kuwa hueleweki
 
Sikumbuki kama nilishawahi kukukagua....

Hebu fanya hima. Haka kaugonjwa kanatibika kienyeji, sio lazima uhangaike kumtafuta Dr. mzabzab ....
 
Ww unaweza kua ni mzabzab wa kike🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…