Hakuna mtu "Single" A.K.A mzab zab

Hakuna mtu "Single" A.K.A mzab zab

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Watu humu mambooz.

Tusichorane. Hakuna mtu yuko peke yake humu ndani. Ni kwamba mtu anamadai eti yupo peke yake halafu ukichunguza ni kwamba hayupo peke yake wapo wawili.

Ni hali tu ya kuwa hajaridhika na mtu wake anataka aongeze aone kama hiyo nayo ni vepi, sasa mtu wangu siyo poa maisha yanaenda sana.

Na ndiyo maana mnalogwa majogoo hayapandi na wala watu wapati vinyweleo.
 
Watu humu mambooz .

Tusichorane .

Hakuna mtu

Single humu
Ndani
Nikwamba mtu anamadai eti yupo single halafu ukichunguza nikwamba hayupo single yupo double .

Ni hali tu ya kuwa hajaridhika na mtu wake anataka aongeze aone kama hiyo nayo ni vepi sasa mtu wangu sio poa maisha yanaenda sana .

Na ndio maana mnalogwa majogoo hayapandi na wala watu wapati vinyweleo .
Mkuu,mbona kama unajiongelesha peke yako?Mimi sijaelewa.
 
Watu humu mambooz.

Tusichorane. Hakuna mtu yuko peke yake humu ndani. Ni kwamba mtu anamadai eti yupo peke yake halafu ukichunguza ni kwamba hayupo peke yake wapo wawili.

Ni hali tu ya kuwa hajaridhika na mtu wake anataka aongeze aone kama hiyo nayo ni vepi, sasa mtu wangu siyo poa maisha yanaenda sana.

Na ndiyo maana mnalogwa majogoo hayapandi na wala watu wapati vinyweleo.
Single boy wa kweli kwel nipo hapa nimetulia nakula chapati na bia 😁
 
Mkuu ivi ni kwamba huwa hujui kuandika kiswahili vizuri au na wewe ni darasa la 7 B mwenzangu??

Kama unashindwa kuandika kiswahili fasaha ukaeleweka basi usiwe unaleta nyuzi humu, mara nyingi umekua ukikosolewa kuwa hueleweki
 
Watu humu mambooz.

Tusichorane. Hakuna mtu yuko peke yake humu ndani. Ni kwamba mtu anamadai eti yupo peke yake halafu ukichunguza ni kwamba hayupo peke yake wapo wawili.

Ni hali tu ya kuwa hajaridhika na mtu wake anataka aongeze aone kama hiyo nayo ni vepi, sasa mtu wangu siyo poa maisha yanaenda sana.

Na ndiyo maana mnalogwa majogoo hayapandi na wala watu wapati vinyweleo.
Sikumbuki kama nilishawahi kukukagua....

Hebu fanya hima. Haka kaugonjwa kanatibika kienyeji, sio lazima uhangaike kumtafuta Dr. mzabzab ....
 
Watu humu mambooz.

Tusichorane. Hakuna mtu yuko peke yake humu ndani. Ni kwamba mtu anamadai eti yupo peke yake halafu ukichunguza ni kwamba hayupo peke yake wapo wawili.

Ni hali tu ya kuwa hajaridhika na mtu wake anataka aongeze aone kama hiyo nayo ni vepi, sasa mtu wangu siyo poa maisha yanaenda sana.

Na ndiyo maana mnalogwa majogoo hayapandi na wala watu wapati vinyweleo.
Ww unaweza kua ni mzabzab wa kike🤣🤣
 
Back
Top Bottom