Hakuna mtu "Single" A.K.A mzab zab

Hakuna mtu "Single" A.K.A mzab zab

Yaani ni hivi huyo mzabzab anapenda kutomb kila mwanamke humu jf. Sasa huyo dada alijua yuko mwenyewe kumbe wako double.

Ametishia kumfanya jogoo awe tetea.

Tusubiri majibu ya mzabzab kama katomb hapa
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani ni hivi huyo mzabzab anapenda kutomb kila mwanamke humu jf. Sasa huyo dada alijua yuko mwenyewe kumbe wako double.

Ametishia kumfanya jogoo awe tetea.

Tusubiri majibu ya mzabzab kama katomb hapa
Mbona mrembo tunatombaner vizuri tuu.
Alafu acheni zenu bwana sio kila demu wa jf nataka kutomber bwana...wengine ni ng'ong'ozo tuu hawana uzuri wowote wala tako hawana.

Alafu humu ndani imejengeka tabia ya kunisingizia mambo yote ya kugegedana mie tuu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ila Mzabzab kha😂😂😂
 
Hongera yake kuendana na uhalisia wa maisha Sasa hiv sio rahisi lakini hatuwez kujua maisha ya mtu mmoja mmoja inawezekana kuwa kweli
Sio kuendana na maisha ya sasa kufanya au kutofanya inategemea na attitude ya mtu mfano binafsi nilikuwa domo zege, muoga wa mademu yaani nilipanda daladala kwenye siti amekaa jinsi ya kike na kuna nafasi nyingine huwezi kukuta nikaa nayozungumza haya ni kuanzia 2017 kurudi nyuma ndio maana sikuweza kuingia kwenye mahusiano na wala kufanya sex nimeanza rasmi ni 2018 baada ya kuanza kuchangamka ndugu yangu sophy27 Watu wa namna hii wapo mpaka Leo wewe unapinga kwasababu unafatwa na wajanja maana ili umpate mwanamke ni lazima umtongoze au sometime inatokea kupiga kimasiala ambapo inatokea Mara chache sasa kama mtu ni domo zege na nimuoga wa wanawake unadhani hiyo sex au relationship ataipataje?
 
Back
Top Bottom