Hakuna murder case isiyoacha alama/ushahidi

Hakuna murder case isiyoacha alama/ushahidi

T
Traces zinaweza kuachwa Sana tu,
Ila je, ni wote mnaweza kuziona ?,

Hapa ndo levo ya wapelelezi hutofautiana mkuu.

Umesahau lile tukio la ugaidi Zanzibar?

Bongo na Zanzibar walifeli kumpata mhalifu, wakaomba msaada FBI,

Yule mhalifu aliodakwa Kwa picha ya kuchorwa na penseli ambako Shahid pekee aliekua aliemuona mhalifu alkua ni Mtoto WA miaka 4.
Zamani sana hiyo, si ni yule aliyeua padre au mwingine?
 
Unaweza kumkurupua mtu kwenye meza ya kusomea, kisha ukatengeneza tukio la kujitoa uhai, na kisha urudishe kila kilichovurugika mahala pake, kama ilivyokuwa?? Hata kama ni ganda la pipi??

Utadakwa tu, labda mamlaka ziamue kupotezea, lazima kuna alama utaacha
Mauaji ambayo husumbua sana wapelelezi ni yale yanayofanywa na mtu mmoja pekee bila kuhusisha mtu mwingine.

Muuaji akiamua kula pini, pa kuanzia lazima pasumbue.
 
Back
Top Bottom